Kaka ukibishana nao wataona umechanganyikiwa kweli ww waache ndio raha ya utani, Mie nawapa Pole unajuwa tukipigwa Belo huja Kop Kule kutupa pole hatucheki anajuwa mpira Leo Huyu Keesho Huyu. Na Kama hujazoea utashangaa computer yako ipo kwa fundi.Arifu, hunifahamu. Sasa unajuaje nimechanganyikiwa?
I am so amazed with you goons....