Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

man u.... hatushikiki kwelikweli.
Endeleeeeeeeni hivyohivyo, mwanipa rahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kocha anahitaji muda, wachezaji wengi ni 30+yrs huu ulikuwa ni muda wa kutengeneza kikosi kipya kwa hiyo ingekuwa tabu kwa kocha yeyote yule. Lakini ligi bado haijaisha
Endelea kujipa moyo hivyo hivyo Kwahiyo uzee huo ni baada ya kutua yeye pale, si ndio? Kwataarifa yenu MOYES hata apewe Barcelona ataishusha daraja tu coz uwezo wake ni mdogo afadhali ya JULIO (Kiwelu)
 
A contentious penalty is the decider for today's game....

Let's do this United at OT....

#GGMU

Don't worry bro! Things will even up at the end of the season. Just like they evened up all those seasons in past
 
ImageUploadedByJamiiForums1389131128.160935.jpg

.......Bwwwaaahhhaaahhaaaahhhaaa!!!
Eeee jamani mbavu zangu, hhhheehhee!!! Hhhiiiiiiiiiiihhhii!!!

#Mshazoea ee?!!!
 
Wacha kuchakachua matokeo khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



BTW Mjiandae tu return leg chacha naona mna kazi kubwa ...... ...... ...... ...... Judas atakuwa kapona khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Huyu Nzi kwa sasa tumwache tu cuz amechanganyikiwa....vichapo vitatu mfululizo si kitu kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Haya mumeamini enheh? Bora timu kumkabidhi Kibadeni kuliko huyu mbwa koko.
 
Kucheka watu sio vizuri jamani tujue na kutoa pole bila Nzi mtapata vipi matokeo Humu? Na Nzi ndio mtangazaji Mzuri wa hii thred!. poleni.
 
Huyu Nzi kwa sasa tumwache tu cuz amechanganyikiwa....vichapo vitatu mfululizo si kitu kidogo.

Arifu, hunifahamu. Sasa unajuaje nimechanganyikiwa?

I am so amazed with you goons....
 
Last edited by a moderator:
Laugh out loud goon....
It seems the uppercuts and jabs for the past 20+ years made you mad.....

It is your time to laugh chap....

But, just like Arnold said, #ManUnited will be back....

Let's do this on 22nd of January at OT

Arifu, hunifahamu. Sasa unajuaje nimechanganyikiwa?
I am so amazed with you goons....

"Don't Lie Son...You Lost (2-1 ) 3 times consecutive with this year"....HAPPY NEW YEAR FAN"S
 
Back
Top Bottom