Ni kweli mimi ni shabiki wa UNITED ninaeumizwa na madudu ya huyu mwehu (MOYES) nashangaa wenzangu hawataki kuamini kua tumefika kwa uwezo wa huyu chizi (MOYES) MOYES hafanani na uwezo wa timu yetu. Tukubali tukatae uwezo wake ndio umeishia hapo hana uwezo wakutupa mafanikio. Ikiwa EVATON aliondoka bila mafanikio yoyote itakua UNITED? Ngojeni tufungwe na leo labda itawaamsha wale wanaoendelea kumuamini.Mkuu Kitoabu kumbe nawe ni man u... poleee ndugu yanguuuu... mpeni muda bwana kocha wenu
Giggs is defying his age by the running