christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,150
- 5,065
Labda Kama mnaongea kishabiki hamfatilii epl ,ndio maana mnampa had ubingwa spursy kwa ule Mpira makande,Naunga mkono hoja.
Arsenal ni kama baiskeli ya barafu juani, ikikupita iache tu, utaikuta mbele ime yeyuka.
Sawa... Ngoja tusubiri. Ila Liver siyo kipimo kwa kweli.3/9/2022 sio mbali amini TUTAWAGONGA ARSENAL HAWATOAMINI
Hahahah mkishinda game 16 niite umbwa.Raundi ya kwanza arsenal anashinda game 16 (ikiwamo ya utd) na sare tatu.
Arsenal have won their opening three games of a Premier League season for only the third time - 2003-04, 2004-05 and 2022-23.Arsenal inayoanza ligi kwa mbwembwe za ushindi hua haitoboi kwenye top4.
SISI NDIO WATAALAM
Arsenal tutakuwa hapa hapa November kuwathibitishia maana wanawahisha game kupisha world cup.Hahahah mkishinda game 16 niite umbwa.
Sisi mashabiki wa chelsea hatunaga kinyongo.Mpaka hili limekubali, basi Martinez balaa
Kitoabu na wewe umefufuka kama timu yako.Naunga mkono hoja.
Arsenal ni kama baiskeli ya barafu juani, ikikupita iache tu, utaikuta mbele ime yeyuka.
Haaaahaaa jamn man inawadau wengi sijui kina Maguire hawalijui hilo?Mkuu kariakoo zimepigwa baruti Kama Kuna mtu kashinda uraisi
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Spurs inapewa hiyo chance sababu,ya uwepo wa Conte.Labda Kama mnaongea kishabiki hamfatilii epl ,ndio maana mnampa had ubingwa spursy kwa ule Mpira makande,
Ndio nyie mnaiona chelsea ya Rahim na kai kubeba epl
Arsenal toka msimu uliopita tulishaanza kuweka standard kwa hizi middle teams hatutaki zituzoee, ndio maana Kuna Kauli mlikuwa mnasema Arsenal anazifunga timu ndogo tu, msimu huu tume raise standard , Hawa kina palace ,Fulham, soton, Aston Villa ,n.k tunataka waache point ,halafu tutaona nini kitatokea,
Kingine Depth ya squad tunaiongeza ,
kwahiyo msiishi kwa kukariri ,
Matatizo ya Man u yalikuwa kwa watu wafuatao, Pogba, Maguire, Rushford, Martial na Luke Show, sasa taratibu naona Ronaldo na Bruno nao wanaingia huko. Ni vizuri kocha akapiga bench hawa watu kama anatak mafanikio.Hao kina shaw ndio tatizo
😀 😀 😀Ligi ndo imeanzaa sasaamkuu ile video unayo?
Sikiliza wewe, sisi ndio wataalamu.
Mpaka hili limekubali, basi Martinez balaa
Conte alifanikiwa msimu mmoja pale Chelsea kwa kuja na 3-4-3 mfumo ambao EPL ulikuwa hautumiki, msimu wa pili alikimbia epl ,huku kuna game akipigwa had 6-0Spurs inapewa hiyo chance sababu,ya uwepo wa Conte.
Kama umezaliwa jana huwezi kujua Conte ni nani!
Kama unaifatilia vzr epl ,kila timu vikosi vyao, usajiri wao, utaelewa naongea nn, Chelsea hii bila kupata proprer CF, mtamfukuza tuchel kabla ya mech ya 20.Spurs inapewa hiyo chance sababu,ya uwepo wa Conte.
Kama umezaliwa jana huwezi kujua Conte ni nani!
Me nakujua wewe ni bonge la bwege, soon utaanza kupost picha za Martinez akiwa na bukta humuMartinez namfuatilia kitambo tu hata kabla hamja msajili. Ni bonge la beki, nilipenda sana klabu yangu tumchukue. Hata baada ya nyie kumsajili nilitoa pongezi hapa hapa nikawambie pale mmepata jembe haswa.
Una kicha hakuna timu isiyotegemea wachezaji kadhaa.Conte alifanikiwa msimu mmoja pale Chelsea kwa kuja na 3-4-3 mfumo ambao EPL ulikuwa hautumiki, msimu wa pili alikimbia epl ,huku kuna game akipigwa had 6-0
Hadi Eddie howe kocha wa Newcastle kwasasa alisema Conte aliwaspraiz msimu wakwanza ,baada ya hapo wakamjulia ,
Conte anategemea miujiza ya Kane na son (individual brilliance) kaangalie mech hata na wolves
Chelsea hii mbovu ilipelekeshwa na Everton ,na kupigiwa mpira mkubwa na Leeds , Cha ajabu Chelsea vs spurs ,Chelsea alikuwa prime Barca
Kwasababu epl mnaiangalia kimazoea Sana, ila fatilia kila mechi utaamini ninachosema
Iwapo kane ashuke kiwango kidogo tu, utamkuta Spurs nafasi ya 10.