Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani imenibidi nipande kitanda mana nsipolala ntaamka na hasira za mambo mawili,moja ni kijinyima usingizi halaf nikaamka na uchovu kwenda ofcn,, ba la pili ni kuangalia kipigo kutoka kwa timu ambayo ckutegemea hata kma wataharibu ratiba ya kupumzika na kutuchezesha leoo,,.... moyes we co chosen onee bali ni ushuuuuuziiiniiii one... fakii yuuuuu....
 
Moyes unanitia aibu we na hao vijana wakooo..sasa hvi cna raha ya kijiwee wala njiani.. kila nenoo juu ya timu yetuuu,,
Waaaiiiiii mr moyes??????
Waaaaaiiiiiiiiiii ?????????
 
Ndiyo, lakini tunahitaji viungo wa maana siyo Tom na Gigs ni mzee sasa.
Tatizo sio viungo, tatizo kocha tu, Kwanini hamtaki kukubali wenzangu? Mbona ndio viungo hao hao walio tupa ubingwa msimu ulio pita? Acheni kujitoa ufahamu bhana.
 
Kwikwikwiiiiii..... Umenichekesha sana!
Mie napita tu, maana kushabikia ManU kwa mgonjwa wa presha na sukari ni kujitakia mauti ya haraaaaka!!!
Fans wa Utd wanatia sana huruma. Leo naona atleast timu yao inataka kujikomboa.
 
Nyie mashoga vipi ~ kazeni buti ebo! Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


BTW wakati wa mapumnziko Fungie alikuwa kwenye simu na mwamuzi .... ... .... ..
 
Tatizo sio viungo, tatizo kocha tu, Kwanini hamtaki kukubali wenzangu? Mbona ndio viungo hao hao walio tupa ubingwa msimu ulio pita? Acheni kujitoa ufahamu bhana.

Kocha anahitaji muda, wachezaji wengi ni 30+yrs huu ulikuwa ni muda wa kutengeneza kikosi kipya kwa hiyo ingekuwa tabu kwa kocha yeyote yule. Lakini ligi bado haijaisha
 
Back
Top Bottom