Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mna safari ndefu sana
 
Imefahamika kuwa wachezaji wa Man U wako kwenye mgomo baridi wakishinikiza uongozi umruhusu Cristiano Ronaldo aondoke. Kufuatia huo ukweli sasa uongozi wa Man U pamoja na kocha Errick Ten Hag kwa pamoaj wamekubali kuukatiza mkataba wa Ronaldo ili aondoke mchezaji huru

Chelsea inaaminika kuwa watashawishika kumsajili mchezaji huyo aliyejizolea sifa nyingi kwa kuingia kwenye orodha ya wachezaji maarfu duniani kwa nyakati zote yaani GOAT.
Pamoja na kuwa kocha wa Chelsea hamtaki mshambuliaji huyo mkongwe ila wamiliki wapya wa timu wakiongozwa na Todd Boehly ambaye ndio msimamizi mkuu wa timu wanataka kumsajili Ronaldo sio tu kwa sababu za kusaidia safu ya ushambuliaji wa Chelsea ambayo kwa sasa ni butu, ila pia kwa sababu za kibiashara
 
Asiondoke Ronaldo pekee. Kuna wachezaji wanatakiwa kumfuata nyuma yake.View attachment 2324951
Taratibu anatafutwa wa kubeba makosa.

Ronaldo ndiyo anasababisha mabeki wawe hovyo? Ambao ni hovyo hata kabla hajaja. Ndiyo anasababisha Sancho na Rashford wasiperform?

Ni kweli siyo sawa kulazimisha mchezaji abaki lakini mashabiki wa hii timu ndiyo maana wanaitwa nyumbu. Juzi wanafungwa wanalaumu hawana DM, zinakuja hizi tetesi wanasahau DM wanaona wanafungwa kisa Ronaldo.

Balotelli alikua anacheza City huku hataki. Lakini kaangalie kama City ilikua inafanya hovyo.
 
Man cute ya nini sada
 
Kirusi
 
Wachukue tu. tena na chenchi. Sis hatuna haja na hiyo biashara, tunataka tuhame huko. Upande wa biashara grazer ndiye mnufaika. Wakaumane huko.
 
Nyie vichaa mnamikakati gani kuhusu next match?

This time around ntakua upande wenu, liverkuku mumkate moto mapema
Vita yangu iwe kwa city tu
 
The blues bora wakae tu kimya kuhusu kukandwa na Brentford wao walikandwa kwao tena sisi kelele kibao.
 
Nyie vichaa mnamikakati gani kuhusu next match?

This time around ntakua upande wenu, liverkuku mumkate moto mapema
Vita yangu iwe kwa city tu
We jamaa una wenge kweli.
Arsenal sio timu ya kuchukua ubingwa, labda mika 50, mbele.
 
Me mwenzenu mpaka sasa sijui tatizo ni nini?
Tushafukuza makocha weee mpaka kichefuchefu.
Tushatimua wachezaji mpaka haibu.
Kilicho baki me nakubaliana na matokeo yoyote yale, tufungwe hata goli alfu saba poa tu.

Chamsingi mimi ni shabiki wa Man utd kufa na kuzikwa nayo, hakuna wakunitenganisha nayo labda umauti, pronto.
 
Matatizo nimeona ni midfield kisheti, tukitulia kwenye middle bas.

Lkn pia magiure amefeli. Tena kapten noway, ukiangalia mech alizocheza ameboringa vby mno. Ajabu makocha wanamuweka wanamuacha Bailly?? Kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…