Tuchambue mechi ya leo kwanza, mambo ya usajili weka pembeni. Acha kujificha kwenye kichaka cha usajili.Breaking: Manchester United have reached a total agreement with Adrien Rabiot’s mother, Veronique, on personal terms. #MUFC [@sachatavolieri]
Kuondoka kwa mtu kama Ferguson kwenye timu aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka 20 na aliyeweka falsafa zake zilizoota mizizi haliwezi kuwa jambo dogo, ilikuwa ni lazima Man u iyumbe hata kocha angekuwa nani, na ndiyo maana watu wanaojua alama za nyakati kama Pep walikataa kumrithi Fergie co kwamba hawakuwa wanapenda la hasha bali walijua isingekuwa rahisi. Fergie alimpendekeza Pep na walipata kuongea wakiwa USA lkn licha ya kipindi kile Pep kutokuwa na timu lkn aligoma kwa kisingizio eti anapumzika kwanza.Wewe unadhani tatizo kuu ni lipi?
Safi kabisa, nililiona hili, hivi ni timu gani pale EPL haina CDM na kocha akafurahia kabisa kuanza ligi?
Pep alikuwa na Fernandinho lakini alinunua Rodrì ili fernandinho anavyoisha Rodri awe amezoa,mnaona moto wa Rodri.
Huwezi kuwa na timu haielewi hata mchezàji gani anaichezesha ukategemea kitu toka kwenye hiyo timu zaidi ya hiki tunachoona kwa United.
Nilimshangaa sana EtH kwa kukubali mpaka anaenda Preseason na hana CDM.
Preseason mlishangilia mno
Hawajafunga goli hata moja, ilikua ni own goli na brightonMan U inaweza isiwe na world class players, TRUE. Lakini still kwa hii bunch iliyopo sasa hivi sio ya kupigwa 6 na Brentford & Brighton huku yenyewe ikifunga goli moja tu.
Tuache lazyman's analysis.
Hii timu imefikia hatua haifundishiki.Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?
Wanataka dyudyuHawa wachezaji wanataka nini
Timu zenye proper structure haziyumbi kienyeji.Kuondoka kwa mtu kama Ferguson kwenye timu aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka 20 na aliyeweka falsafa zake zilizoota mizizi haliwezi kuwa jambo dogo, ilikuwa ni lazima Man u iyumbe hata kocha angekuwa nani, na ndiyo maana watu wanaojua alama za nyakati kama Pep walikataa kumrithi Fergie co kwamba hawakuwa wanapenda la hasha bali walijua isingekuwa rahisi. Fergie alimpendekeza Pep na walipata kuongea wakiwa USA lkn licha ya kipindi kile Pep kutokuwa na timu lkn aligoma kwa kisingizio eti anapumzika kwanza.
Hii timu tuvumilie tu atakuja wa kutuvusha japo tutatakiwa tubadilike kabisa tuachane na falsafa za Fergie na pia kuna aina fulani ya wachezaji wapo pale inabidi wapewe mkono wa kwaheri, kocha aanze upya na wachezaji anaowataka japo tatizo lingine ninaloliona ni kila kocha anayekuja pale anakwambia ana kikosi kizuri baadaye mambo yanamuendea kombo.
Akijiuzulu itakuwa heshima kubwa sana kwake.
Kufukuzwa kunamdhalilisha.