Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule chief yuko wapi ana jifanyaga ana jua sana, yuko wapi nasubiri comment yake
 
Baada ya Brentford kutafuna Karanga mbichi kwa wiki nzima hatimaye Leo kapata pa kumwagia na kamwaga haswaa
 
Again RR alishaona matatizo ya hii timu baada ya kufundisha ,now ETH nae ataanza kuyaona matatizo jinsi muda unavyokwenda but RR angekuwa msaada sana kwake hata kwa msimu mmoja,nina wasiwasi hivi vipigo vitamuondolea confidence kabisa na asipofukuzwa yeye mwenyewe anaweza akajiuzulu mapema
 
Hii timu hakuna mchezaji wa kumbembeleza hata mmoja..
Ni wachezaji waliowafelisha makocha waliokuwepo kabla.

Yeye ni nani mpaka ajione special kuwabadilisha?

Pep alipoingia Man City alitengeneza vibaraka wake, wale wa zamani akawatimua.

Ten Hag anadhani anaweza wabadilisha hawa wenye akili zimefika Menopause.
 
Akijiuzulu itakuwa heshima kubwa sana kwake.

Kufukuzwa kunamdhalilisha.
 
Ralf Rangnick alimpa recommendation.

Yeye akaona anajua kila kitu.

Ngoja wamuoneshe kazi.
Huyu kocha wenu akileta ujuaji atakuja kukumbuka maneno ya yule mzee akiwa anafukuzwa.. Tena akaenda mbl kusema ana team nzr sana kwa sbb team hii misimu kdhaa ilimaliza top2 akaenda mbl zaid kusema zama zina mwsh akiwa anategemea hii team.
 
Bora tunachapika na dirisha la usajili lipo wazi tushindwe sisi tu kusajili saizi naona kama tutakuwa serious na usajili.
Kua serious sio shida mtakua serious na wachezaj gn waweze kukubal kuja kwny hii mess.. Team ambayo structure yake haitabiriki kwmb ni ya watu wny akil timamu au la.
 
Ukiwa kocha mkuu wa man utd usionyeshe moyo wenye huruma dhidi ya wachezaji.
  1. Tyrell malacia amemuacha mbali sana kiubora luke shaw hususan kwenye role ya inverted fullback.
  2. wiki mbili nyuma nilisema ukiwa na dalot, Maguire, Fred, shaw, rashford na mctominay ndani ya uwanja Kwa wakati mmoja fahamu unajitengenezea mazingira magumu sana ya kiuchezaji. Ni Imani yangu mwalimu amepata funzo Kwa mara nyengine
  3. David de gea hajazaliwa wala kukulia Spain, anatudanganya
  4. Tunahitaji mlinzi wa kulia, Tunahitaji midfield wawili akiwemo frenkie de jong na Tunahitaji winga mmoja
  5. Tutaamka tena kabla ya jogoo kuwika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…