Swala la martinez kucheza DM wakati wame msajili kucheza beki mkuu uoni hapo umezingua.kulikuwa na haja ya kuongea utumbo ? haya Ni maoni as a fun! huo utumbo wako unaongea hapa mara umeoteshwa , sijui dunia ina furaha kuna mtu alishawahi kukupinga??,,,mda mwingine ukiona huna Cha ku-comment u better leave, unajikuta Nani kwenye hili jukwaa? Au kwa vile huoni comment zetu Mara kwa Mara ?!!! just respect man !!
Kama kuna kosa EtH anaweza kulifanya ni hili la kumbakisha David Degea. Ukimuangalia vizuri David kwa jicho la kiufundi utagundua ana mapungufu mengi sana except shot stopping. (350k/weekly - 1/3 ya huu mshahara tunaweza kumpata mbadala wake bila shida)Erik ten Hag would like a goalkeeper that can genuinely challenge David de Gea and, if one becomes available, the sanctioned funds of £7m could go higher.
[lauriewhitwell]
----------------
Tuwe wavumilivu mpaka msimu ujao, sidhani kama Onana ataweza kumweka benchi Handanovic huko Inter Milan.
Hivyo msimu ujao tunaweza kumshawishi Kwa urahisi zaidi.
Nshamaliza kazi huko mkuu
mwambie aje maana tumefika kwa fujoNshamaliza kazi huko mkuu
mtsawazisha chiefHivi tukipigwa mechi zote 5 au zaidi za mwanzo itakuwaje?
hii hii mkuu,jamaa wanatia sana hurumaKwa timu gani mzee![]()