Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeelezea Kwa hekima na busara Sana ila mkuu ally, ushabiki huwez uficha mfukoni.


Mm nacheki recorded za man united Hadi zinaisha Sasa.

Naruidiaga Sana. Sasa Kwanini kocha haoni makosa Kwa mfano delot hafai, kwann anampa task ya right back??
 
Umeelezea Kwa hekima na busara Sana ila mkuu ally, ushabiki huwez uficha mfukoni.


Mm nacheki recorded za man united Hadi zinaisha Sasa.

Naruidiaga Sana. Sasa Kwanini kocha haoni makosa Kwa mfano delot hafai, kwann anampa task ya right back??
Mkuu kocha kasema anatengeneza timu sasa usitegemehe wachezaji wote watapotea tu ndani ya msimu mmoja.

Sio muda utaanza kuona pumba na mchele zina jitenga nadhani mpaka ipite misimu mitatu tutakua tuna wachezaji wengine kabisa,ndo maana kocha katulia uwezi fanya sajili za haraka haraka hivyo.
 
Kocha mzuri wala hatumii mda mrefu hivyo kufanya mabadiliko labda timu iwe mbovu kama Liverpool ya Klopp enzi zile. Mfano mzuri Profesa Nabi wa Yanga asiyetaka akakumbatie jenereta.
 
Duh, hii ndio man u ya pre-season!? Naona mnaandika insha tu saivi. Haah
 
Nyumbu wanataabika sana...mara mchawi Ed Woodward..mara mchawi kocha...saivi matajiri[emoji23][emoji23]
 
Nimeitoa sehemu uko.

Watu wanalaumu wachezaji, lakini United wana bili ya juu zaidi ya mishahara ya wachezaji na uhamisho wa pili wa juu zaidi wa miaka 5 iliyopita ya klabu yoyote kwenye ligi. Ni nini kingine unaweza kutaka kutoka kwa wamiliki kuliko kuingiza pesa kwenye kikosi? Binafsi nadhani Glazers wameangushwa vibaya na watu wanaoendesha klabu kwa ajili yao. Bodi, wasimamizi, na, kusema ukweli, wachezaji. Je, tunasema kwa dhati tatizo la United ni kwamba hakuna fedha za kutosha zimetumika kwa wachezaji, wakati tumetumia zaidi ya klabu nyingine yoyote kwenye ligi? Ikiwa hiyo sio shida - sioni kabisa jinsi kubadilisha wamiliki husaidia. Nadhani hatimaye ni jukumu la wamiliki kupata watu bora zaidi ili kuendesha klabu - lakini ningeona watu kama Woodward, wasimamizi wa mifugo, bodi n.k, kuwa ndio wenye makosa zaidi hapa.
 
TEN HAG MAPEMA TU ANAWEZA KUJICHANGANYA

Yaani man u inaacha kumsajiri Anatovic kisa kelele za Mashabiki?

Yaan imefikia hatua timu inaendeshwa kwa kelele za Mashabiki na sio Tactic za mwalimu ? Mbona ten hag mapema Sana anakubal huu ujinga

Kocha ameona Anatovic kwa profile zake atamsaidia kwenye ushambuliaji , gafla anaacha kumsajiri kisa kelele za kina allypipi

Kaz ipo
 
Mkuu mimi wapi nimesema arnautovic mbovu mkuu kushikana mashati huku.
 
Duh unaota wewe mdada
we nadhani umezaliwa na wafira.naji sababu hauwezi muita mwanamme dada, lazima baba ako alishafumuliwa fumuliwa na mashemeji zake, so unadhani kila mwanamme ni kama baba ako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…