Manchester United (Red Devils) | Special Thread

From De Jong to Rabiot
Kocha alisema atasajili right player ,ngoja tumpe mudaView attachment 2317755
Hapa kuna mawili, Either Murtough anamtia jamba jamba Laporta amlipe FDJ, ama wapo serious.

Uzuri wa Rabiot ni Technical sana anafit Mfumo wa ETH sina tatizo nae on the pitch.

Ubaya wake anakuja kumrithi Pogba na drama, hasa mama yake anakuwa anazingua sana.
 
Sidhani hata kama Arnautovic anakuja atakua ni Choice ya kwanza, maybe depth tu replacement ya Cavani,
 
Mkuu umeongea ukweli wote mashabiki yani mechi ya kwanza tu lawama mimi huu msimu kwenda Uefa ndo yatakuwa mafanikio yetu.

Hivi wakuu mnajua maana ya kujenga timu kweli maana lawama kibao utadhani kocha kasema msimu huu kaja kubeba vikombe.
 
Mkuu ndo mashabiki tulivyo yani mechi ya kwanza tumeanza vilio yani mapema yote hii mimi mechi 10 ndo tajua uwezo wa kocha kwasasa sitegemehi miujiza yoyote.
 
Mkuu ndo mashabiki tulivyo yani mechi ya kwanza tumeanza vilio yani mapema yote hii mimi mechi 10 ndo tajua uwezo wa kocha kwasasa sitegemehi miujiza yoyote.
Mpaka sasa hata hatujui mipango ya Kocha, Garner hajauzwa wala kutolewa mkopo hatujui kocha ana plan gani nae, hayupo fit kuanza maybe ndio maana Mc Tominay ameanza, Tumpe muda Kocha tutajua baadae mbivu na mbichi.
 
Mnanifurahishaga mnavyobadilishiaha gia angani, daah
 
Mpaka sasa hata hatujui mipango ya Kocha, Garner hajauzwa wala kutolewa mkopo hatujui kocha ana plan gani nae, hayupo fit kuanza maybe ndio maana Mc Tominay ameanza, Tumpe muda Kocha tutajua baadae mbivu na mbichi.
Kocha tunampa muda lakini kubwa kuliko yote.

Bodi ya Man United sasa hivi inaajiri makocha ili kuwadhalilisha.

Haiwezekani kushughulikia dili la mchezaji mmoja kwa miezi kadhaa huku eneo kubwa la uwanja likiwa na mapungufu mengi tu.

Jana fullbacks zetu zimetuonyesha mambo yale yale ambayo tumepiga kelele misimu yote.

Diogo Dalot siyo fullback anayeweza kucheza EPL hana huo uwezo. Ni heri ahamishiwe kwenye right wing tu
 
Ila Fernandes aisee amedrop sana..sijui wenzangu mnamuonaje..
 
Ila Fernandes aisee amedrop sana..sijui wenzangu mnamuonaje..
Ni kweli amedrop ila pia jana ten hag hakupanga vizuri pale mbele,ndo maana kipindi cha pili ericksen alivorudi nyuma kidogo then brudo akasimama namba 10 ,timu ilichangamka
 
Mkuu,nijuavyo mimi timu inajengwa ikiwa katika mashindano,timu inajengwa ikiwa inapambania kitu. Huwezi kusema eti timu inajengwa hivyo hata mashabiki wasijali chochote,huo ni uongo.

Timu inayojengwa unaona kabisa hata uchezaji wake na u serious wao katika kununua wachezaji. Ingekuwa ni hivyo basi timu ingekuwa inajitoa kwenye ligi kabisa inaenda kujengwa kama nyumba ikikamilika ndio irudi.😂

Timu inayojengwa unaona kabisa hata kiuchezaji mambo yanaanza kubadilika,hata kama hamchukui ubingwa ila unaona kabisa maendeleo.

Kinachoniuma mimi ni vile nikiwaangalia wachezaji wetu,sioni hata mmoja mwenye uhakika wa namba kwenye Big 4 za pale EPL tu.


 
Kwa tetesi ni kwamba ETH alisema mwenyewe FDJ or bust, akimkosa FDJ atadevelop mwengine.

Hilo la Dalot hata mimi nilishaliongea sana tu, jamaa ni pazia nyuma, quality yake kubwa ni kuprogress tu mpira hata end product yake si nzuri. Tunaweza ziba mapungufu yake kwa kucheza na midfield wa kulia atakayecover nafasi yake akipana (Fdj alikuwa pia na hii role Ajax)
 
Hakika Jombaa niliwahi kusema ni lazima bodi ikubali kula hasara ndani ya hii misimu miwili kuna wchezaji wengine sana wanapaswa kuondoka.
Kama walimzuia phil jones kuondoka usitegemee cha maana hii bodi itafanya.

Upuuzi mtupu.
 
Ralf Rangnick alisema tunahitaji total overhaul aka open heart surgery.

Naanza kumuonea huruma ETH.
 
Ila Fernandes aisee amedrop sana..sijui wenzangu mnamuonaje..
Mifumo mkuu, si kila mfumo unamfit mchezaji 100%.

Sema jana kuna muda Eriksen alidrop chini, kulikuwa na Build up za hatari pale katikati, zilipigwa gonga za maana kutengeneza nafasi. Kwa form ya Rashford sitashangaa Bruno ama Eriksen mmoja akaenda pembeni ili ku Acomodate VDB ama midfield mwengine kama Rabiot/Garner tucheze mpira wa ETH.
 
Ralf Rangnick alisema tunahitaji total overhaul aka open heart surgery.

Naanza kumuonea huruma ETH.
Ila mkuu realistically hatuwezi sajili wachezaji 11, assume anakuja Striker na mid mpaka usajili unafungwa ina maana wachezaji wa 5 tayari hao si mbaya, na hapo hatujavunja Kibubu ina maana january tunaweza kusajili tena.
 

Eriksen akiwa deep nadhani ndo anaweza kuleta ile desired impact. Dalili ni nzuri! Kama forwards wetu watakuwa clinical, basi atamaliza msimu na assists za kutosha

Japokuwa Eriksen siyo reckless akiwa na mpira ukilinganisha na Pogba, bado naona anakuwa easily pressed. Timu pinzani zitam target kumpokonya mpira. Na ndo hapohapo tunarudi kwenye agenda ya proper DM
 
Mkuu Chief-Mkwawa
What's your opinion kuhusu position ya Maguire kwenye huu mfumo wa high line?
Ukitoa strengths zake kama mipira ya juu na passing, Ni kitu gani makocha wanaona kwa Maguire ambacho sisi wengine hatuoni?

Ni kama naona huu mfumo unamfaa zaidi Bailly kuliko CBs wote tulionao. Jamaa yupo vzr in terms of pace, aggressiveness, positioning etc..
 
Ila mkuu realistically hatuwezi sajili wachezaji 11, assume anakuja Striker na mid mpaka usajili unafungwa ina maana wachezaji wa 5 tayari hao si mbaya, na hapo hatujavunja Kibubu ina maana january tunaweza kusajili tena.
sawa umemleta malacia akae nje na kuna sehemu ni dhaifu sana kama kiungo hata wachezaji wawili wangetosha halafu huko mbele waongezwa wengine muhimu ilikuwa kiungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…