Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mambo yamegeuka.... Disco limeingia masai na sime
 
Hakika Jombaa niliwahi kusema ni lazima bodi ikubali kula hasara ndani ya hii misimu miwili kuna wchezaji wengine sana wanapaswa kuondoka.
 
mnasema rebuilding inahitaji muda na kocha anataka wachezaji sahihi sa huu usajili wa marko aunotovic vipi
 
Kocha mwenyewe anavyosema kikosi kina massive talents anakuwa ana maanisha nini?.


Wakipewa za uso ndo wanaanza kusema ukweli.
Kusema hivyo haimanishi kuwa hahitaji wachezaji.

Hata kama wewe boss wako amekupa kazi ungesema publicly kuwa resources ulizonazo hazikutoshi ?

Akisema wachezaji wake hawana talent bado watakuwa na sababu ya kufanya nae kazi ?

Wachezaji wetu wengi ni luxury na inaonekana wanatatizo la kutokuwa na nishati ya kutosha na kukosa game concentration.

Mpaka sasa tatizo siyo makocha tena
 
Timu nzima inayohusika na usajili, lakini kwa haraka nitaanza na ETH maana inaonesha amekomaa sana na Frankie na hana option B katika hiyo nafasi, hilo ni tatizo kwake kama kocha. Ni vipi huyo Frankie akiendelea kugoma kuja kama inavyodaiwa?
Unamlaumu nini Ten Hag na usajili wa DeJong ?

Kwani Man united imeanza leo kukamilisha usajili wa mchezaji mmoja kwa miezi kadhaa ?

Unamlaumu vipi Ten Hag kwa wachezaji kucheza hovyo chini ya makocha watatu huku makosa yakiwa ni yale yale ?

Tatizo siyo Ten Hag ameshadeliver katika vilabu vyenye limited budget na alikuwa akipata wachezaji anaowahitaji kwa wakati kuliko hapa United.
 
Hichi ndo kikosi kilicho safiri leo kwenda Bangkok ndugu yenu mnae mkomalia naona hayupo.

Kuhusu jones kutokuwepo nadhani mnaelewa ile ni deep state ya Manchester united.View attachment 2284662
Kumbe we mzembe ni shabiki wa mwantesa united.

Usiwe unakuja kule darajani kutuletea ghasia zako.

Pambana na Hali Yako humu mzee kipipi
 
Kile kijiti cha arsenal cha msimu uliopita tulishawaachia sisi tuko zetu kuwania ubingwa.
 
Kama umenisoma vizuri,nimemlaumu kwakuwa inaonekana chaguo lake ni Frankie pekee na anaonekana hana plan B kama akimkosa Frankie.

Hayo matatizo mengine yanafahamika ni ya timu nzima.
 
Niwape taarifa Fred mnayemsimanga ni midfield yetu Brazil yakutegemewa akiwa huko anasahau shida chini anaweka mikono juu mwendo wa show show
 
Kama umenisoma vizuri,nimemlaumu kwakuwa inaonekana chaguo lake ni Frankie pekee na anaonekana hana plan B kama akimkosa Frankie.

Hayo matatizo mengine yanafahamika ni ya timu nzima.
Alafu huyo de jong kasema kama ataondoka Barca team atayoenda ni Chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…