Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nashindwa kuvivaa viatu vyenu

Binafsi sita wakejeli wala kuwakashifu, mnahitaji zaidi faraja.
Ni bora mje kule the gunner kututukana coz unajulikana ni utani tu

Tuwe waungwana kwa washabiki wa vilabu vyote MANCHESTER UNITED anahitaji faraja na ukarimu katika kipindi hiki kigumu. [emoji120]
 
Hiyo game ya Liverpool wanaenda kupanuliwa mpaka makalio yatachanika[emoji23]
 
Pre season ilikuwaje ..mbona mulikuwa munashinda.
Munaliwa kimasikhara Yani kiboya boya tu munapakuliwa🤣🤣🤣🤣

Manjestaa Ni Mandonga aliyechangamka ..mikwara mingi prisezon alafu kwenye ligi kirahissi munaliwa za uso madogo🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mambo yamegeuka.... Disco limeingia masai na sime [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hakika Jombaa niliwahi kusema ni lazima bodi ikubali kula hasara ndani ya hii misimu miwili kuna wchezaji wengine sana wanapaswa kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…