Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United haina mpango wa kupigania ubingwa kwa misimu ya hivi karibuni. Mashabiki muhamie timu nyingine kwa muda kama walivyokuwa mashabiki wa Asernal.
 
Huyu kocha nae kiazi tu, Maguire + Shaw + + Tomnay sio wa kuanza.

NB: Utd watafute kipa, kiungo mkabaji na namba 9, tofaut na hivyo top 4 ni ndoto.
Msimu uliopita tulikuwa na tatizo la DM sasa hivi limeongezeka la fullbacks na left wing
 
Ondoeni management
 
Man u oyeee ,wachezaji wote wa man u ni byuti byuti
 
Nani alaumiwe ?
 
Huyu kocha nae kiazi tu, Maguire + Shaw + + Tomnay sio wa kuanza.

NB: Utd watafute kipa, kiungo mkabaji na namba 9, tofaut na hivyo top 4 ni ndoto.
Nyie nafasi yenu ni kuanzia tano huko...top four sahauni kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…