Hamjasajili, au uchaguzi mbaya wa wachezaji wa kusajili,ilikuwa hamna maana ya kuleta Eriksen wakati mna BRUNO kwanini asikomae kutafuta DM kwingine hata kama De jong amewachomolea, Ten Hugs na yeye ana tatizo tu hapo Man U anaonekana mtu wa akisema jambo hataki ushauri.