Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi...hizi sarakasi Musa ndo anawafundisha mazoezini?

1174590_10151874835940794_674917134_n.jpg
 
jamani nina hasira tani 7 na nusu!huyu moyes ingekuwa pale jangwani wazee tungeshamtimua kwa bakora tukiongozwa na mzee akilimali!
 
David Moyes ni hand-picked successor wa Sir Alex Ferguson. Wa kumlaumu hapa ni Sir Alex kwani ni yeye aliyemchagua Moyes kurithi mikoba yake. Hakuna anayemkaribia Sir Alex kwa kuibua vipaji vya kabumbu. Hili halina ubishi, lakini nampa sifuri kwa uchaguzi wake wa makocha. Poleni sana wana-Man U.
 
Kama angekuwa anajua kuibua vipaji vya kabumbu, angejua kocha anayefaa kuvilea vipaji hivyo. Kwa hiyo inaonekana na yeye ni tatizo.
 
Aisee na leo sijui itakuwa je,tukifungwa nitaongezewa stress ingawa ni ngumu leo kufungwa
 
#ManUnited XI: De Gea, Rafael, Vidic, Evans, Evra, Valencia, Carrick, Cleverley, Giggs, Januzaj, Welbeck.

Subs: Lindegaard, Smalling, Hernandez, Fletcher, Kagawa, Buttner, Zaha.

Let's do this #ManUnited
 
Kwa wapenzi wa #ManUnited wanaotumia smartphones, mnaweza kuinstall app ya MU Fixtures ili muwe mnapata updates na reminders za fixtures.
 
Back
Top Bottom