Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,223
Munamuonea sana babu wa watu, Fergie hajawahi shika position yoyote united toka aondoke UTD, kaipa Timu list ya makocha kibao wazuri wanakaamua wenyewe kuchagua kocha wa 7. Klop mwenyewe anakwambia Woodward alimwambia anataka Atengeneze Disneyland ya Football, akasepa. Kosa la Fergie ni nini?Naungana na wewe Mkuu, aliyeiharibu timu ni Ferguson wakifuatiwa na Glazers.
Kuna ofa yoyote imekuja UTD kumtaka Ronaldo?Usijichanganye!
Anaondokaje wakati anang'ang'aniwa.
Kama Ni kudhalilika Ronaldo anadhaliliahwa na hao wanaomng'ang'ania.
Hivyo hao ndo wanaoshusha morale ya Ronaldo,
Wamwache aondoke.
Sio swala la kumlaumu Ronaldo,wakati yeye pia amewekwa kwenye wakati mgumu.!
Nyie wengine tulieni tu, wenye timu wanaamua.
Wamenunuliwa makusudi, kwenye Vitabu vya Glazer kwake kombe si lazima, top 4 inatosha, tuingie UCL kila msimu. Wachezaji walionunuliwa na Woodward ni wale ambao wana market, timu inaendeshwa kibiashara zaidi.Grazer wametoa pesa nyingi tukanunua wachezaji tusiohitaji ...
Namlaumu Sana aliyemnunuaga mchezaji na kumlipa 500,000 per week.
Nakumbuka alitusumbuaga kumuuzia. It's like umenunua gari bovu na linakunyonyea wese.
Tukanunua wakina demaria, mi Maguire, tukanunua Pogba kiburi...mim niliuliza Ferguson alipomuuza je ni mjinga, Kwann tumemrejesha Ronaldo??
Vilevile ni kosa kumng'anganiza Frankie de jong atakuja kitusumbua
YOte haya ni majaribio Kwa eth nadhani atamudu tu. Maana heshima ndio kila kitu.Mtihani halisi wa Ten Hag.View attachment 2312965
Yaani huyu jamaa kamaliza.Football: The sport where 2+2+2 doesn't always equal six
The common belief is adding a 20 goal scorer to a team that doesn't have a goal scorer will add goals. Rarely is that actually the case, because changing a piece can often change the entire puzzlekwestthoughts.substack.com
Tactically kuhusu Ronaldo,
Uzi mzuri sana
NdioEriksen ataleta utofauti kwenye timu yetu?
Nakubaliana na wewe.ETH ni kocha mzuri, ila presha kubwa kutoka nje (malegend, media, mashabik vitamuangusha.
Man u ya sasa ingetakiwa ipate kocha mtukutu, mbabe, mwenye misimamo mikali kama CONTE.
Contw was the perfect man for United, sikuelewa tulivyozubaa kwa huyu kocha na alikuwa free wakati flaniETH ni kocha mzuri, ila presha kubwa kutoka nje (malegend, media, mashabik vitamuangusha.
Man u ya sasa ingetakiwa ipate kocha mtukutu, mbabe, mwenye misimamo mikali kama CONTE.
martial kaumia mwambie Eth asimpange ronaldo amweke elengaRonaldo hafai ataharibu Team
Martial nayo ni takataka kabisa yani hata mechi moja ya ligi ijacheza tayari pacha inatakiwa mbele kuwe.martial kaumia mwambie Eth asimpange ronaldo amweke elenga
Apange wale kina dialo na gernacho achana na kina rashidMartial nayo ni takataka kabisa yani hata mechi moja ya ligi ijacheza tayari pacha inatakiwa mbele kuwe.
Rashford
Sancho Elanga
amna namna ila ronaldo kuanza ni BIG No japo elanga ni takataka nae.
sio kama watu tunamtaka ronaldo ishu ni watu wenyewe wanaobaki bora angesajiliwa mtu hao mnaowataka tuonane baada mechi ya brighton mtavukuwa mnatukana hapaMartial nayo ni takataka kabisa yani hata mechi moja ya ligi ijacheza tayari pacha inatakiwa mbele kuwe.
Rashford
Sancho Elanga
amna namna ila ronaldo kuanza ni BIG No japo elanga ni takataka nae.
Ndani ya msimu mmoja atatimuliwa.ETH ni kocha mzuri, ila presha kubwa kutoka nje (malegend, media, mashabik vitamuangusha.
Man u ya sasa ingetakiwa ipate kocha mtukutu, mbabe, mwenye misimamo mikali kama CONTE.