Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hi timu pia itagharimu Sana morale ya Ronaldo.
Mwenzenu kashasema anataka kuondoka, ninyi mmemng'ang'ania, Sasa lawama za Nini?
Mwacheni aondoke!
Hata demu asiyekutaka, ukimng'ang'ania, tegemea performance mbovu na vituko vya kila aina.
 
Kwani ni sisi tunamng'ang'ania au ni wamiliki mafala?

Hata yeye akiondoka anaondoka hakuna wa kumzuia kwani haoni anajidhalilisha
 
Kwani ni sisi tunamng'ang'ania au ni wamiliki mafala?

Hata yeye akiondoka anaondoka hakuna wa kumzuia kwani haoni anajidhalilisha
Usijichanganye!
Anaondokaje wakati anang'ang'aniwa.
Kama Ni kudhalilika Ronaldo anadhaliliahwa na hao wanaomng'ang'ania.
Hivyo hao ndo wanaoshusha morale ya Ronaldo,
Wamwache aondoke.
Sio swala la kumlaumu Ronaldo,wakati yeye pia amewekwa kwenye wakati mgumu.!
Nyie wengine tulieni tu, wenye timu wanaamua.
 
Kweli wakati ukuta, Ronaldo amefikia hatua ya kukataliwa na team karibia zote.

Hakuna atakayesalia chini ya jua, Mungu kweli ametuweza.
 
Tuombe uhai tu mjomba[emoji16]
 
Kweli wakati ukuta, Ronaldo amefikia hatua ya kukataliwa na team karibia zote.

Hakuna atakayesalia chini ya jua, Mungu kweli ametuweza.
Messi kaamua kutulia na kustaaf kiheshima hana maneno maneno wala nn
 
Messi kaamua kutulia na kustaaf kiheshima hana maneno maneno wala nn
Ronaldo lazima kichwa kiume mwenzake yupo timu ambayo ina uhakika wa kombe kila msimu na ina kikosi ambacho kina nafasi kubwa kubeba UCL.

Messi akitulia kule Ligue 1 ataweka rekodi nyingi sana. Ronaldo anajua mpaka sasa kaingia cha kike kurudi Old Trafford.

New challenge imekuwa challenge kweli halafu anataka kukimbia. [emoji23]
 
Anatuangusha sn watu tulio nyuma yake tukimpigania kwa hali zote, anatunyima maneno ya kuongea mbele ya wabaya wake. Ni mpumbavu.
Tuliwaonya mapema sana mkakimbilia kujifichia kwenye vigoli 18.

Ni heri timu iishie goli 38 kwa msimu itwae ubingwa kuliko magoli ya show offs tu na personal records.
 
mufc are in talks with Tom Huddlestone over a role at the club where he will be playing with the U21 team.

At age 35, he will be allowed to play as an over-aged player in PL2 matches, with clubs allowed five over-aged outfield players and one goalkeeper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…