Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FYsCmPhWYAIBSbf.jpeg
 
Kitoabu, Daemusin, Chief Mkwawa, Bavaria

Nje kidogo ya nyumba yetu, hivi ni kitu gani kinaendelea Chelsea? Mbona wachezaji wengi hawaendi? Na ofa zao huwa zinakuwa nzuri kuliko hata wapinzani wao. (Raphinha na Jules Kounde)

Jules Kounde anaenda Barcelona kwa Pound 46M na mshahara wa euro 7M kwa mwaka hapo hapo ofa ya Chelsea ilikuwa pound 55M na mshahara wa euro 12M kwa mwaka. Naomba nipewe ufafanunuzi kidogo hapa nini kinaendelea?
Most of players bado wanaamini Chelsea Ni klabu ndogo TU,
 
Sure, anazingua.
Huyu fala pamoja na kumtetea sana humu ila safari hii ameamua kutuvua nguo kabisa hadharani, hichi anachotuonyesha ni ubinfsi wa hali ya juu sana.
Alivyo na akili mbovu timu karibia zote hazimtaki halafu yeye anaamua kunyea kambi.
Binafsi nimeanza kumchukia na hata akiamua kubaki sidhani kama atapata sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki.
 
Timu yetu haiko serious tu tusubiri msimu basi. Hizo sajili 2 hazitufikishi popote hata de jong akija atacheza msimu mzima?? Siku akiumia miezi miwili tunarudi na kina macfred hehehe okay tulihitaji watu wapya hata watano au 6 kuanza kua serious na ligi. Tunashangilia mechi za pre season sijui wacha tuonee.
Timu inapoingia kwenye project mpya hutakiwi kuwa na matarajio ya ubingwa.

Matarajio yangu mimi timu icheze kwa muunganiko mzuri na iwe na matokeo chanya tu.

Ubingwa utakuja tu tutakapokuwa na matokeo consistent hata kwa mechi 20 mfululizo.
 
Huyu fala pamoja na kumtetea sana humu ila safari hii ameamua kutuvua nguo kabisa hadharani, hichi anachotuonyesha ni ubinfsi wa hali ya juu sana.
Alivyo na akili mbovu timu karibia zote hazimtaki halafu yeye anaamua kunyea kambi.
Binafsi nimeanza kumchukia na hata akiamua kubaki sidhani kama atapata sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki.
timu haitaki kusajili yani wale watatu ndo wamefunga usajili jamaa umri umeenda anataka watu wamsaidie yeye kazi yale kutupia tu sasa mtamlazimisha kucheza Mctominay na rashford hata mimi nsingekubali ! tatizo la man u ni washabiki sio glazers
 
Sporting CP’s head coach Ruben Amorim is not thrilled with the idea of signing Cristiano Ronaldo.

The main worry would be how Ronaldo would change the dynamics of the current squad and his high salary.
(Source: @lauriewhitwell)
 
Back
Top Bottom