Naona wanasema hawakufikia muhafaka ronaldo anataka kusepa timu inataka abaki.Jana kuliendaje pale carrington??


| Erik ten Hag is a coach who would love to work with Frenkie de Jong again. Of course, #mufc are not so crazy to make an €85 million bid for De Jong if they would know that he does not want to come at all. [Marcel van der Kraan, @telegraaf]Wale mliofatilia mechi za pre season, mnaonaje kiwango wa Bruno Fernandes?
Una uhakika ni £85M?Point yangu ni kwamba Ten hag alisema hatoentertain big price signing. alikuwa anamaanisha bei gani?
Pili, hajapewa blank cheque, kapewa Badget, very limited ndio maana tunaona speed na namba ya wachezaji wanaosajiliwa na watakaoishia kusajiliwa, sasa unaoperate under such a limited budget, bado £85M inaendelea kuwa hela ya kawaida?
ukumbuke Man utd hii inahitaji kuwa overhauled? at least wachezaji saba wanapaswa kuwa replaced kwenye first timu yetu? tunaweza fanya hivyo kwa bei za namna hiyo?
kuna taarifa, wachezaji wote wamekatwa mishahara between 20-30%, maana ake hatuko vizuri kifedha, sasa inakuwaje tutoe hela ndefu namna hiyo?
Kama huku wachezaji wanakatwa mishahara tunamng'angania de jong wa nini wakati ishajulikana hayuko tayali kupunguzwa mshahara huko aliko? we want to make him the highest paid?
bei ya kwanza ya de jong ilikuwa pound 55, mi nilijua imeongezwa kufikia pound 85 sababu baca wameomba wapewe na hela ya kumlipa madeni yake, kumbe sio, sasa bei imepanda kwa msingi gani?
Euro mil 85 sio paundiUna uhakika ni £85M?
Fatilia vzr shida sio UCL , Kuna mengi Sana kwenye sakata la De jong, Dejong ana wadai Barca , halafu haipend tu man u ,De Jong haitski hata kuisikia Manure
Kasema akilazimishwa kutoka Camp Nou basi ni darajani.
Kukosa UCL kitawagharimu sana
Na source zenu za udakuDe Jong haitski hata kuisikia Manure
Kasema akilazimishwa kutoka Camp Nou basi ni darajani.
Kukosa UCL kitawagharimu sana





ludi kujichekesha kule wewe uzi umekosa wachangiaji kajichekeshe kuleRonaldo anajuta sana kuingia mkenge kwa hili timu![]()


Na Ronaldo exit he, nayo sio UCLFatilia vzr shida sio UCL , Kuna mengi Sana kwenye sakata la De jong, Dejong ana wadai Barca , halafu haipend tu man u ,
Siku hizi wachwzaj wanaangalia pesa kwanza kabla ya UCL
Madai yake yanahusija Nini na kuhamia Man ?Fatilia vzr shida sio UCL , Kuna mengi Sana kwenye sakata la De jong, Dejong ana wadai Barca , halafu haipend tu man u ,
Siku hizi wachwzaj wanaangalia pesa kwanza kabla ya UCL
Hawezi kuondoka Barca bila kulipwa pesa yake ila pia De Jong mwenyewe anapendelea kubaki Barca.Madai yake yanahusija Nini na kuhamia Man ?


Haridhiki na usajiri wa man u, kwan amejua leo man u haitacheza UCL? Alikuwa wapi ligi ilipoisha tuNa Ronaldo exit he, nayo sio UCL
De jong hayupo tayari kwenda Man huo ndo ukweli ni bora aendelee kubaki Barca hata wakimpunguzia mshahara wakeFatilia vzr shida sio UCL , Kuna mengi Sana kwenye sakata la De jong, Dejong ana wadai Barca , halafu haipend tu man u ,
Siku hizi wachwzaj wanaangalia pesa kwanza kabla ya UCL
De jong hayupo tayari kwenda Man huo ndo ukweli ni bora aendelee kubaki Barca hata wakimpunguzia mshahara wake
Wapi alisema haipendi United? Zaidi ni vyanzo vingi vya habari vinasema De Jong anapendelea kubaki Barca kwasababu ni club ya ndoto yake tokea alipokuwa mdogo, pia anataka kucheza UCL.Fatilia vzr shida sio UCL , Kuna mengi Sana kwenye sakata la De jong, Dejong ana wadai Barca , halafu haipend tu man u ,
Siku hizi wachwzaj wanaangalia pesa kwanza kabla ya UCL