Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We jamaa asiyekuelewa atakuwa na matatizo ya akili
 
huyu Dejong kama kuna mchezo man u wanafanya nae ili akisign mkataba auze jezi nyingi na kusaidia club kupiga hela atakuja kutuletea shida.

wachezaji na benchi lote la ufundi wasihusishwe na mambo ya biashara. hii kitu ndio ilimpa pogba kiburi akatutia vidole
 
kuwapunguzia game time wachezaji ni kuwaua kabisa, na swala la kujenga team, inabidi tuwe wavumilivu wa muda. ujengaji wa timu wa namna hii unaousema inahitaji at least 3 years.
 
Michezo ya kutiana vidole tena!!
Ila nyumbu mmekuwa hovyo sana[emoji23][emoji23]
 
Barca lazima wamwachie FDJ hata iweje.

Hawawezi register Raphina na Lewandowski mpaka wahakikishe wana balance vitabu vyao.
Wiki lile alilosajiriwa Franck Kessie waliuza 10% ya haki za matangazo ya TV kwa kampuni ya kimarekani (six street) - euro 207.5M. Hapa ndipo walipopata pesa ya usajili na mshahara wa Ralphina.

Wanafikiria kuuza tena 20% nyingine incase De Jong akigoma kuondoka na kupunguza mshahara kwa euro 400.97M. Ili waweze ku-accomodate mishahara ya kikosi kizima msimu ujao. (Plan B)

Msimu ujao mpaka sasa baada ya usajili wa Lewandowski na Raphina na endapo De Jong atabaki basi Barcelona watakuwa na budget ya mshahara ya euro 559.87M kwa msimu mzima wa 2022/23. Naona kabisa waki-push hiyo plan B, no way out ili ku-balance financial fair play.
 
Duh hata barca walofilisika wanatengeneza timu lewandowski tayari wanamaliza na bernado silver hebu linganisha uwezo wa mchezaji mmojammoja wa liver,man city,madrid bayern na ht barca
ngoja ligi ikianza tutaona hapa mliosema huu usajili unatosha
Hahahahaa sikiliza Jombaa sisi na timu zote ulizozitaja hapo juu tupo ktk mipango tofauti kabisa.

Wenzetu wapo ktk execution strategy sisi tupo ktk rebuilding strategy. Hatuwezi kuingia sokoni na transfer strategy moja na hao hata kama tuna pesa kuwazidi. (tumekuwa na makocha 3 ndani ya miezi 8 - Ole, Ralph, na sasa EtH kila mmoja hapa ali-submit plan yake kwa bodi)

Binafsi namuelewa sana EtH anachojaribu kufanya itatuchukua muda kidogo kurejea ila tukirudi naamini tutarudi kibabe sana. Hii hatua inahitaji ucheze low key but very smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…