Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na yoote tukubali tu pamoja na mabadiliko yoote bado tuna shida kwenye bargaining,tunabagain saana,halaf mwisho tunatoa hela ile ile.

Inshu ya FDJ mwanzon ilikua rahisi sana ila kwa sasa inaonekana na mchezaji anaanza kugoma.

Kuhusu DMF,amini huyu Martinez ndo atacheza box to box,na Man u washajua ile ya De jong ni ngumu ndo maana nguvu yote wameelekezea kwa martizen.

Bado tunashida kwenye usajili,na sio sababu ya Europa league pekeake,na nnazani matajiri wa man u wanachangia kwa kiasi kikubwa kudelay
 
Hii dili ipo complicated maana fdj anawadai barc pesa ndefu ndio maana anagoma kuondoka hafi apewe chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni yule dogo na martinez ndo tumesajili tangia dirisha lifunguliwe?!

ETH ana list ipi ya wachezaji ambao anataka kuwasajili?
 
FDJ atakuja kweli?.
Ngoma bado ngumu, ukitoa Hawa waandishi uchwara Tier 1 wetu wanasema deal linakwamishwa na Deferred wages.

Ducker anasema De jong yupo Open kuja United ila hataki kuacha Hela zake Barcelona, hivyo hadi alipwe ndio ataconsider kuja UTD. Jamaa anawadai Barca hela za kutosha, Barcelona walimkopa kipindi cha Covid.

Toka Tarehe 28 ilishakuwa reported Kwamba Fee imekubaliwa sisi na Barcelona tumemalizana ni kusolve tu issue ya Mshahara ya FDJ.
 
Ni yule dogo na martinez ndo tumesajili tangia dirisha lifunguliwe?!

ETH ana list ipi ya wachezaji ambao anataka kuwasajili?
Eriksen na Malacia Done, Martinez leo Done pia bado kufanya transaction za fuedhaa aje kufanya medical, ni done deal. Bado FDJ na Anthony. Manchester united anaplay smart. FDJ bado yeye kukubali na anawait deferred payment yake tu ndo mana 21 iko reserved for him unless otherwise. So list ya ten hag ukitoa FDJ bado Anthony though tunamkimbiza Brobby wa RB alitokea Ajax kimyakimya, Peredes wa Psg pia. Kuhusu Tielman no approach made wala Neves. Hawa wawili itategemea deal la De jong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…