Hahah! Hii project haiwezi feli japokuwa tunaweza kuwa vizuri ila kushinda kombe la PL au UEFA ni suala lingine tofauti na ubora wa timu.Kwangu mimi ikitokea hadi hii project ya EtH nayo imefeli,basi nitakuwa tayari kukubali kuwa mpira ni zama na ya kwetu itakuwa imepita kama ilivyopita ya Nottingham forest,arsenal,n.k
Kombe la kwanza la msimu tayari kibindoni.
Kupata wachezaji sahihi kwake na kwa wakati ndo kutamkwamisha.
Wanatakaje sijui?,Achana na sisi wewe,tuache tufurahi japo kwa kidogo tulichonacho,yaani tufungwe tunune,tushinde tunune pia????kwendraaaaaaaa,
Kwanza tungefungwa hizo goli mngetuacha nyie???
Halaf acha kumfananisha ETH na vitu wa ajabu ajabu
Sina uhakika tatizo la DM fdj atalisolve ...tumeishi kw muda Sasa bila suluhishoKwa nafasi nyengine sawa, ila midfield ni tatizo mkuu, tuki re enforce hapo kwengine kunavumilika.
Fdj sio deep defender??Mkuu labda nikuorozeshee baadhi ya registere midfielders huenda ukaelewa
Regista midfielder
Verrati
Alcantara Tiago
Joghinyo
Pirlo
Carrick(deep lying playmaker)
Cesc Fabregas(deep lying playmaker)
Xaiv (deep lying playmaker)
Sent using Jamii Forums mobile app
Halaf inshu ya FDJ kama imeshakufa as kwa habari za leo hiiFdj sio deep??
Mchiz boti upo???Wanatakaje sijui?,
Tukishinda tabu, tukifungwa ndio kabisaa, hata usingizi hatupati ni mwendo wa kujambishwa tu.
Watuache jamani.
Rafinha vipi kaja ? De jong atakuja tu suburi hujui kinachoendelea kati yake na barca ila kuhusu rafinha tunajua kachomoaDe jonii amegoma kuja kwenye hii club ..hii timu Ni takataka kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]
huyu nae angoje tu asifkri itakuwa rahisi kama ajax anavyowaokota maboyo kuleHivi Mason GreenWood inshu yake haiajisha?View attachment 2288772
mingi sana tuombe uhai kwanzaKupata wachezaji sahihi kwake na kwa wakati ndo kutamkwamisha.
Ila naanza kuona uelekeo sahihi kama timu.
Misimu mitatu ijayo, tutaanza kukiwasha kwelikweli.
Walete 35 tuwape Baily panchaNapoli are in contacts for #MUFC's Eric Bailly - he is among the options they're considering to replace Kalidou Koulibaly.
#AlfredoPedulla
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2289192
Mkuu Erick huwa anakichafua kabisa kule nyuma huwa nashangaa watu wanamdharau,hukuona Jana alivyo waongoza wale watoto akiwa kama Nahodha pia kuanzisha shambulizi mpaka kuwa Goli!!Walete 35 tuwape Baily pancha
Nikuulize kitu mkuu ikiwa tuna shida ya DMF Kwa nini tunasua sua kulipa Kwa FDJ.Halaf inshu ya FDJ kama imeshakufa as kwa habari za leo hii