Are you sure?usifikirie tu juu ya replacement ya Ronaldo, kama yeye Ronaldo anavyotishia kuondoka kama timu haitosajiri waweza kuta wachezaji wanaokuwa approached wanasitasita kusign sababu ya presence ya Ronaldo pia.
Timu haikufunga magoli mengi kwasababu midfield ilipotea almost kila match.Chagua moja.
1. Man u yenye Ronaldo anayefunga magoli 30 na timu kwa ujumla inafunga magoli 60.
2. Man u isiyo na ronaldo na mchezaji mwenye magoli mengi afunge magoli 16 na timu kwa ujumla imefunga magoli 80.
Ronaldo kaomba kuondoka, je akiondoka tutasajili striker kweli?Uwepo wa Ronaldo ni kama utatuzuia kusajili Striker au yawezekana Manchester bado wanaangalia ukuaji wa Alejandro Garnacho na hali ya Mason Greenwood.
Barca wanataka wachezaji wengi ila bajeti yao inawafunga, De Jong ingekuwa kile kipindi Woodward anamwaga pesa mpaka sasa angekuwa training, sema sasa barca wanam value pesa kubwa ambayo man u wanaona hana thamani hiyo kwa sasa ambapo bid ilikataliwa ikabidi tuweke ads on zile ili itimie pesa wanayotaka barca, ni kaprocess kidogo maana kuna issue za wakala, atacheza match ngapi, makombe ili ifikie hizo ads on ila possibility week ijayo haiishi De Jong anatuaWakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki
Barça president Laporta on de Jong: “There are many clubs that want him, not just Man United. We have no intention of selling him, he wants to stay”.#FCB
“I'm going to do everything to keep Frenkie, but there’s also a salary issue and that would have to be adjusted”.
#MUFC https://t.co/zG4mmo6Rfj
Ishu ya Raphina mkuu haihusiani na klabu hizo ni mchezaji binafsi, ndoto zake ni Barca, ila Chelsea washakubaliana kila kitu na leeds imebaki player side kuamua la sivyo deal ingeshaisha muda tuNi kweli ndugu yangu ,ila tambua Barca Kuna pesa ameanza kuipata , so Mambo yanabadilika muda wowote , waulize Chelsea kuhusu Raphina , wamebaki WANATOA macho
Its shame kwa club,Kitendo cha kutaka kuondoka inaonesha Cr7 yupo ambitious kuliko man utd.Msimu tunamaliza nafasi ya pili EPL timu nyingi zilicheza chini ya kiwango, msimu uliopita Chelsea walianza vizuri sana ilikuwa lazima wamalize ndani ya top 4, Spurs baada ya ujio wa Conte wakaanza kufanya vizuri sana kipindi hicho sisi tunadondosha points kipuuzi.
Halafu leo hii mtu anasema Ronaldo ndiyo sababu hatujamaliza top 4 na mtu huyohuyo msimu mzima alikuwa anaimba taarabu za Maguire asicheze, McFred siyo combo nzuri, tutafute DM, tununue CB, RB Dalot na AWB hawafai ila leo hii anakuambia RONALDO ndiyo sababu.
Kama mlikubali kuna mapungufu karibia kikosi kizima kwanini hamtaki kuamini ndiyo chanzo cha matokeo mabaya na siyo sababu ya ujio wa Ronaldo.
Ninatamani Ronaldo abaki, y'all need a humbling.
Hakuna wa kumlaumu aisee, kuna muda kuna wachezaji nawaonea huruma ukitoa pesa watakazopata hakuna kitu watatoka watasema nilishinda kitu fulani nikiwa United.Its shame kwa club,Kitendo cha kutaka kuondoka inaonesha Cr7 yupo ambitious kuliko man utd.
Nafikiri hata akiondoka hakuna wa kumlaumu amejitoa sana last season.
It's true,Ronaldo made the team collectively weak in every aspect.Ubora upi alileta Ronaldo au ustriker upi?
Msimu wa 2019/20 Man Utd ilifunga magoli 66
msimu wa mwaka 2020/21 ilifunga magoli 73
this was an upward trend na timu ikamaliza ligi ikiwa nafasi ya pili, then akaja striker mleta magoli
msimu wa mwaka 2021/22 ikafunga magoli 57.
Making 2021/22 among the worst in goal scored record post fergie error.
sababu
2018/19 timu ilifunga magoli 65.
2017/18 timu ilifunga magoli 68.
hivyo expectation, false expectation iliyokuwapo kwamba ataleta magoli, na hizi propositions kwamba oohoo ni top goal scorer (as if timu zingine hazina top scorers) na kwamba alipokuwa hachezi timu ilikuwa haifungi, zote ni uzandiki tu.
Ronaldo made the team collectively weak in every aspect.
Ni sawa kuendelea na mshambuliaji mzee ambaye moyo wake ushahama kwenye timu yetu?.Kuna replacement plan ya Ronaldo?
Mpaka sasa ku-sign midfield tunasua sua, replacement tutaipata msimu huu?
Soma tena labda utanielewa, BTW im not a fan of this football club, im just trying to have opinions.Mbona mnamsemea ETH?
What if ronaldo ni key player wa ETH?
Mnaongelea mchezaji anaekupa magoli 25 ya uhakika, nani wa kureplace? Rashford? Martial?
Mpaka sasa kusajili kunasumbua, sasa kupata striker wa kureplace ronaldo mnaongelea £100M kwenda mbele. Wakati DeJong wa £85M anatutoa jasho mwezi sasa.
United ya sasa haina hela, haina influence, haina Champions League. Hakuna mchezaji serious anaekuja, labda afuate mshahara mkubwa tu.
Kuweni serious guys.
Blaa blahuyu Ronaldo nilijaribu kumuelezea kutokea kwenye angle ambayo wengi hawakutaka kuitumia lakini nikiaishia kuitwa pro mesi na kutolewa kauli zingine za dhihaka.
huyu alichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu trend ya mafanikio ya timu iliyopata msimu wa 2020/21, mchezaji wa aina yake hakuwa kwenye plans za OLE, na kimsingi alikuwa mzigo kwa timu kuliko msaada.
huyu alikwenda pale akiamini atatembelea nyota ya mafanikio ya 2020/21 kupata kick ya kuiwezesha timu kuchukua makombe, akaishia kumvuruga kocha na kila mchezaji.
kama ten hag anajielewa auachilie huu mzigo uondoke with immediate effect
Pogba,Lingard wanted to go klabu haikuwauza baadae wakaondoka free,kama mchezaji anataka kuondoka aachwe aondoke klabu lazima iwe na contingent plan.Di Maria,Varane,Ramos ,CR7 walivyotaka kuondoka Perez hakuwazuia na ili-generate kiasi kubwa akafanya replacement na klabu bado iko stable.Ni sawa kuendelea na mshambuliaji mzee ambaye moyo wake ushahama kwenye timu yetu?.
Kwa hiyo kupungua kwa idadi ya magoli imesababishwa na Ronaldo, how?Ubora upi alileta Ronaldo au ustriker upi?
Msimu wa 2019/20 Man Utd ilifunga magoli 66
msimu wa mwaka 2020/21 ilifunga magoli 73
this was an upward trend na timu ikamaliza ligi ikiwa nafasi ya pili, then akaja striker mleta magoli
msimu wa mwaka 2021/22 ikafunga magoli 57.
Making 2021/22 among the worst in goal scored record post fergie error.
sababu
2018/19 timu ilifunga magoli 65.
2017/18 timu ilifunga magoli 68.
hivyo expectation, false expectation iliyokuwapo kwamba ataleta magoli, na hizi propositions kwamba oohoo ni top goal scorer (as if timu zingine hazina top scorers) na kwamba alipokuwa hachezi timu ilikuwa haifungi, zote ni uzandiki tu.
Ronaldo made the team collectively weak in every aspect.
Tupe na data za defence kwa kipindi hicho achana na magoli ya kufungaUbora upi alileta Ronaldo au ustriker upi?
Msimu wa 2019/20 Man Utd ilifunga magoli 66
msimu wa mwaka 2020/21 ilifunga magoli 73
this was an upward trend na timu ikamaliza ligi ikiwa nafasi ya pili, then akaja striker mleta magoli
msimu wa mwaka 2021/22 ikafunga magoli 57.
Making 2021/22 among the worst in goal scored record post fergie error.
sababu
2018/19 timu ilifunga magoli 65.
2017/18 timu ilifunga magoli 68.
hivyo expectation, false expectation iliyokuwapo kwamba ataleta magoli, na hizi propositions kwamba oohoo ni top goal scorer (as if timu zingine hazina top scorers) na kwamba alipokuwa hachezi timu ilikuwa haifungi, zote ni uzandiki tu.
Ronaldo made the team collectively weak in every aspect.
Post yangu uliyoquote nilimaanisha hiki kitu, nashangaa hukunielewa.Kuna replacement plan ya Ronaldo?
Mpaka sasa ku-sign midfield tunasua sua, replacement tutaipata msimu huu?
FACTUbora upi alileta Ronaldo au ustriker upi?