Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Simply a deluded Manchester United fan.
 
Exactly what he brought to Man Utd.huyu alikuwa ni kirusi kulipo Pogba, save for uzungu wake.
Man you have done nothing for Manchester United Football Club ,Cristiano Ronaldo has contribute a lot in United/football history
 
Kuna replacement plan ya Ronaldo?

Mpaka sasa ku-sign midfield tunasua sua, replacement tutaipata msimu huu?
 
Kuna replacement plan ya Ronaldo?

Mpaka sasa ku-sign midfield tunasua sua, replacement tutaipata msimu huu?
usifikirie tu juu ya replacement ya Ronaldo, kama yeye Ronaldo anavyotishia kuondoka kama timu haitosajiri waweza kuta wachezaji wanaokuwa approached wanasitasita kusign sababu ya presence ya Ronaldo pia.
 
Mbona mnamsemea ETH?

What if ronaldo ni key player wa ETH?

Mnaongelea mchezaji anaekupa magoli 25 ya uhakika, nani wa kureplace? Rashford? Martial?

Mpaka sasa kusajili kunasumbua, sasa kupata striker wa kureplace ronaldo mnaongelea £100M kwenda mbele. Wakati DeJong wa £85M anatutoa jasho mwezi sasa.

United ya sasa haina hela, haina influence, haina Champions League. Hakuna mchezaji serious anaekuja, labda afuate mshahara mkubwa tu.

Kuweni serious guys.
 
Facts??? [emoji23]
sasa unabisha kwamba tukiwa na stiker Ronaldo timu ilifunga magoli 57? na kwamba misimu minne nyuma huyo Ronaldo aliwa hayupo timu ilifunga magoli magoli zaidi ya hayo?

au facts ni yale unayotaka kuyasikia wewe?
 
usifikirie tu juu ya replacement ya Ronaldo, kama yeye Ronaldo anavyotishia kuondoka kama timu haitosajiri waweza kuta wachezaji wanaokuwa approached wanasitasita kusign sababu ya presence ya Ronaldo pia.
Kina Eriksen, Frenk De Jong wanasita ku-sign sababu ya Ronaldo?
 
Chagua moja.
1. Man u yenye Ronaldo anayefunga magoli 30 na timu kwa ujumla inafunga magoli 60.
2. Man u isiyo na ronaldo na mchezaji mwenye magoli mengi afunge magoli 16 na timu kwa ujumla imefunga magoli 80.
 
Kina Eriksen, Frenk De Jong wanasita ku-sign sababu ya Ronaldo?
I have told you to think about it. usiwe kama mtoto wa chekechekea. tofauti yako na mbuzi ni uwezo wako wa kufikiria, UTUMIE.
 
Tulifanya vibaya kama timu na sio sababu ya Ronaldo.

Tulikuwa exposed kwasababu hakutufanya vizuri kwenye baadhi ya maeneo. Midfield, beki, wings.

Maguire alikuwa anatoa maboko, midfield ilikuwa inakatika almost kila match.

Hows that the problem with ronaldo?
 
sasa unabisha kwamba tukiwa na stiker Ronaldo timu ilifunga magoli 57? na kwamba misimu minne nyuma huyo Ronaldo aliwa hayupo timu ilifunga magoli magoli zaidi ya hayo?

au facts ni yale unayotaka kuyasikia wewe?
Hilo sijabisha ila bado sijaona points za msingi kuwa Ronaldo ni chanzo cha timu kufanya vibaya msimu uliopita. Just how?
 
usifikirie tu juu ya replacement ya Ronaldo, kama yeye Ronaldo anavyotishia kuondoka kama timu haitosajiri waweza kuta wachezaji wanaokuwa approached wanasitasita kusign sababu ya presence ya Ronaldo pia.
Are you sure?

Man Utd inahitaji proven players, players who can fight for positions.

Angalia Man City, namba 1 ina wachezaji wawili majembe.

Hatuhitaji ku-baby sit wachezaji wazembe kama kina Rashford na Martial.
 
Chagua moja.
1. Man u yenye Ronaldo anayefunga magoli 30 na timu kwa ujumla inafunga magoli 60.
2. Man u isiyo na ronaldo na mchezaji mwenye magoli mengi afunge magoli 16 na timu kwa ujumla imefunga magoli 80.
Timu haikufunga magoli mengi kwasababu midfield ilipotea almost kila match.

Kufa kwa midfield ili-expose hata defence.

Ronaldo unaemchukia alikuwa anafanya nini huko Madrid?

Huyo Ronaldo angeenda Man City au Liverpool unategemea angekuwa wapi? Timu yetu ilikufa, mbele, kati na nyuma.

Personal effort ya Ronaldo ilitupitisha kwenye key matches.
 
Uwepo wa Ronaldo ni kama utatuzuia kusajili Striker au yawezekana Manchester bado wanaangalia ukuaji wa Alejandro Garnacho na hali ya Mason Greenwood.
Ronaldo kaomba kuondoka, je akiondoka tutasajili striker kweli?
 
Hii agenda ya "Ronaldo is the problem" ni ya kipuuzi tu iliyoanzishwa na wapuuzi hasa huko Twitter na ukiwaambia wakuelezee kwanini wana-support hii agenda hakuna hata mmoja atakueleza kitu cha maana.

Internet ni moja ya chanzo kikuu cha kusambaza habari na agenda za uongo. [emoji706]
 
Barca wanataka wachezaji wengi ila bajeti yao inawafunga, De Jong ingekuwa kile kipindi Woodward anamwaga pesa mpaka sasa angekuwa training, sema sasa barca wanam value pesa kubwa ambayo man u wanaona hana thamani hiyo kwa sasa ambapo bid ilikataliwa ikabidi tuweke ads on zile ili itimie pesa wanayotaka barca, ni kaprocess kidogo maana kuna issue za wakala, atacheza match ngapi, makombe ili ifikie hizo ads on ila possibility week ijayo haiishi De Jong anatua
 
Ni kweli ndugu yangu ,ila tambua Barca Kuna pesa ameanza kuipata , so Mambo yanabadilika muda wowote , waulize Chelsea kuhusu Raphina , wamebaki WANATOA macho
Ishu ya Raphina mkuu haihusiani na klabu hizo ni mchezaji binafsi, ndoto zake ni Barca, ila Chelsea washakubaliana kila kitu na leeds imebaki player side kuamua la sivyo deal ingeshaisha muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…