Poga ni li jinga sana yani hafu linasema litaonesha ni jinsi gani tumefanya makosa kutolipa mkataba mpya liende tu miaka6 yote iyo tumeona nini cha ajabu.Hapa sijaelewa kwahyo Pogba alitaka man u wamwongezee salary bila ongezeko ndio akagoma?
Wakati huko kaenda kushusha hata ile salary alikuwa anachukua man u kabla ya ongezeko.
Wewe ni jinga tu ulivyo na kimbele mbele sio tungeona una post post hapa lakini umetulia kimya unadhani bongo kule kwamba kitu kivuje vuje tu kirahisi kenge wewe.ishi na watu vzuri ratiba ya PL imetoka Toka week iliyopita na tulikuwa tunajua sisi ...!
Acha kukaza fuvu
Huyu jamaa alikuwa anaziota zile 500k/week alizoahidiwa na Ed.Pogba ni kirusi na nadhan man utd waliamua kumpotezea mazima ndo maake kaenda juve kwa 160k kwa weekView attachment 2262862
Mpumbavu huyu mtoto..Pogba ni kirusi na nadhan man utd waliamua kumpotezea mazima ndo maake kaenda juve kwa 160k kwa weekView attachment 2262862
Ameshachukua wc anacheza mpira kwa kujisikia tu ujinga aliokua anaufanya man u aupeleke italy aone kama hawajamtupia ndiziPogba ni kirusi na nadhan man utd waliamua kumpotezea mazima ndo maake kaenda juve kwa 160k kwa weekView attachment 2262862
Sijui shida ni nini tu.Sikutegemea tuta-lag behind this much kuhusu usajili.
Aseno pia wanatushinda
Ndio tunaelewa saa hii kwamba pogba amechangia kudhoofisha Manchester kwa maneno kama haya huyu ni kirusi alikuwa anaambukiza wenzie anaongea sanaPoga ni li jinga sana yani hafu linasema litaonesha ni jinsi gani tumefanya makosa kutolipa mkataba mpya liende tu miaka6 yote iyo tumeona nini cha ajabu.View attachment 2262975
Mpaka Arsenal wanasajili sisi bado tunahangaika na De Jong tu
Kwani ETH anasemaje kuhusu usajiri? Mimi sidhani kama United imeshuka kiwango sana mpaka kuiita ni timu dhaifu,tena unaongezea dhaifu sana.Mmeshakuwa timu ya kawaida yaani takataka kwa sasa hakuna anaetaka kuja hapo.
Mkubali kwa sasa timu yetu ni dhaifu sana.
Mkuu kivyovyote mpaka Juni 30 tushajua Mbivu na mbichi,Sikutegemea tuta-lag behind this much kuhusu usajili.
Kwahiyo kwa kifupi ni kwamba Barcelona wanaleta ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya kioo ?Mkuu kivyovyote mpaka Juni 30 tushajua Mbivu na mbichi,
Jinsi inavyokaribia june 30 ndio jinsi Barcelona wanapata presha na ndio Jinsi tutamsajili de Jong kwa bei rahisi. Hicho ndio kinachoendelea sasa. Unless kutokee changes kubwa Sana De jong anakuja UTD na ni top priority.