Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Conference inawaita kwa sauti kuu

Viva crystal palace viva zaha

Dah hii timu itakuja huwa watu hii yani watu walikuwa wana hali mbaya kweli kweli watu walikosa amani kabisa

Leo watu hawa amini kama inacheza anyway

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
 
Wale wanajeshi 2500 wa Ukraine waliojisalimisha juzi kwa jeshi la Urusi moja ya sharti lao kabla ya kujisalimisha ilikua ni kuruhusiwa waone mechi ya mwisho ya manchester united vs Crystal Palace.
 
Leo tukichomoka hapa Mungu atakuwa kaingilia kati.
Screenshot_20220522-161135.jpg
 
Maguire akianza mnawahi kupigwa. Asipoanza mnapigwa ila baadaye kidogo.

Rangnickelodeon amefocus kuwatupa conference wings zinachezewa na watoto wawili katikati yupo babu. Mmoja wa watoto kashakula yellow
 
CONFERENCE
CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE

CONFERENCE
 
Back
Top Bottom