Screenshot_20220517-183129.jpg
 
Aje haraka sana. Tuanze mipango.
Mbona ameshaanza mipango?

Cha kwanza ni kuandaa staff atakaofanya nao kazi. Na tayari wameshapatikana.

Cha pili ni kufanya analysis ya current squad na hao new staffs na kutambua nani aondoke na nani abaki.

Cha tatu ni kuangalia nani asajiliwe.

Cha nne ni kwenda likizo, then by june 20 pre season inaanza.
 
Utakuwa na unauelewa mdogo sana wa masuala ya mpira na michezo kwa ujumla. Si kwa ubaya hufahamu unachokizungumza.

Mchezo wowote ule wa ushindani kadri unavyozidi kukaa muda mrefu bila kucheza mchezo wa ushindani unakuwa ktk mazingira hatari zaidi.

Ukiwa unafanya training kila siku na wachezaji wale wale mnakuwa na maelekezo yale yale ya aina moja. Ni tofauti kabisa ukicheza na watu wenye maelekezo tofauti na wewe (timu pinzani). Kuna ssb kwa nn kila wiki unapaswa kucheza mechi na sio baada ya wiki 2.
Dah we ni shit
 
Shida ya nyumbu mnahitaji mabadiliko ya haraka, haya mambo kwa uingereza wanayaweza Chelsea tu, wanaondoa kocha anaekuja anafanya vizuri.

Mngemuacha Morinho leo mgekuwa mmeokota hata kombe jingine, hata SOSHA angebaki pengine hata hiyo europa mngekuwa mnashiriki bila kusubiri crystal waje uwanjani wamelewa.

Haya mnaleta mwingine ataleta wachezaji wa Ajax ambao ni watoto wote wanahitaji muda wa kuleta mafanikio kwenye timu itafika January mpo wa 5 kwenye msimamo mtamfukuza mtamleta Rooney atawaonesha ni kocha mtampa muda na timu itaishia nafasi ya saba.
Msijaribu mbinu za timu kama Chelsea, mbona wasichukue mpango wa Liverpool hadi kurudi kwenye njia.
 
Back
Top Bottom