Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Yaani sisi kutetesi tu hajunA signing why
Bora ku-block source zote za habari za United. Inakera halafu utashangaa wachezaji wanaokuja ni tofauti na tunaowaona kwenye tetesi.

Yani so far there's nothing good being a United fan, timu haichezi vizuri, hatusajili wachezaji wazuri, wachezaji waliopita wanakatisha tamaa yani hata akija mchezaji mpya tayari unakuwa na doubt huenda naye atafeli.

Yani kwa kifupi Manchester United gives negative vibes.
 
Hivi ni kweli tulikuwa tunajuhudi binafsi au tuliachiwa kushinda even extra minutes??Ilikuwa mbinu ya kocha au nani anaweza rejesha hii vibe!???
Screenshot_20220520-104336.jpg
 
Daemushin: anyupdate kuhusu Timber and analysis?
mpaka muda huu hakuna taarifa yoyote kubwa. Timber atakupa option ya kucheza nafasi mbili hadi tatu kwa kiwango cha juu nazo ni RB, CB na DM. Endapo eric bailly na wan bissaka watapata timu na kuondoka basi jurrien timber atatosha kuziba nafasi za hao wawili.
 
Juan Mata
Phil Jones
Aron Bissaka
Jesse Lingard
Edson Cavani
Nemanja Matic
Paul Pogba

Confirmed wanaondoka United.
juan mata anaweza kupewa mkataba mpya, nimevutiwa na mahojiano yake aliyoyafanya ndani yake amezungumza mambo mazito sana kwa lugha ya kiutu uzima. Structure ya manchester united ipo mahututi.
 
Back
Top Bottom