Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu huyu BOUBACAR KAMARA ni DM mzr kuliko rice na Phillips... United bdo ina talent...rashford bdo anauwezo km akipata mwalimu mzr. Nunez anatufaa kwa sasa na baadae
NAAMINI ETH lzm atatufikisha nchi ya ahadi ndani ya miaka miwili tu
 
HAHAHAH! Ile mechi ya Brighton ndiyo ilikuwa ya kutupeleka Europa. Mechi ya mwisho kwa Palace, hahaha.
 
west ham amempa matumaini liverpool dhidi ya man city kwenye mbio za ubingwa, man city amempa matumaini man utd dhidi ya west ham mbio za europa.
Liva ana matumaini gani bro wakati hata akishinda anakua na points 89 huku city ana 90? Na game ya mwisho City anacheza na Villa.

Kama mkashindwa kumfunga Palace na Hammers wakashinda mechi ya mwisho lazima memes zitolewe kuonyesha city ilifanya makusudi suluhu dhidi ya Hammers ili kuhakikisha united anaenda conference league.

Advantage mliyo nayo United ni kwamba mmepumzika almost wiki mbili kabla ya kukutana na Palace ambao watakua wamepumzika siku mbili kabla ya kukutana na nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…