Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Howard Webb making two wrong decisions against United....

1. Lloris's 1st half clearance outside his area....that should have been a red card.....
2. Lloris's 2nd half high tackle on Young....that should have been a penalty and red card....

But, guess what....the mistakes are all right, because that is #ManUnited
I wonder what the pundits would have been trolling if the decisions were in favour of United.....

Good day/night to all #ManUnited fans......let's keep our heads higher and up.....things will be sorted out.....

Twende sasa #ManUnited
 
Kelele zilikuwa nyingi oooh tumepunguza gape kutoka 15 hadi 7 kutoka kwa aliyekuwa kileleni kumbe walikuwa wamesahau kuwa gape liliwah kufika 5 lakin wakaanza kuliongeza na sasa ndio mnaanza kuongeza gape awamu ya pili. Yaani kama ni series hii ni season 2 episode 1.
 
Mijamaa ya liverpool nayo ilidai kuonewa mechi yao na Man city na ile ya Chelsea. Mpira una mengi,bora kukubali matokeo km hivyo. Ligi bado changa.
 
Kelele zilikuwa nyingi oooh tumepunguza gape kutoka 15 hadi 7 kutoka kwa aliyekuwa kileleni kumbe walikuwa wamesahau kuwa gape liliwah kufika 5 lakin wakaanza kuliongeza na sasa ndio mnaanza kuongeza gape awamu ya pili. Yaani kama ni series hii ni season 2 episode 1.

.......hahahahahaha #Season2Episode1 .....heheheheheheh!

Mi naona #WameshazoeaSasa

Halafu sasa hivi wote wamekimbia wamemuachia Chifu wangu Nzi...Belo amekimbia, mtotowamjini amekimbia, Mfarisayo amekimbia TCleverley amekimbia..

Ila kiukweli Nzi ndiye shabiki wa kweli wa #ManUtd ...Hawa wengine inawezekana ni #GloryHunters ..

.....hahahahah, bila kumsahau Mrembo BelindaJacob,.....dahhhh, January kiangazi hiki!

Howard Webb making two wrong decisions against United....

1. Lloris's 1st half clearance outside his area....that should have been a red card.....
2. Lloris's 2nd half high tackle on Young....that should have been a penalty and red card....

But, guess what....the mistakes are all right, because that is #ManUnited
I wonder what the pundits would have been trolling if the decisions were in favour of United.....

Good day/night to all #ManUnited fans......let's keep our heads higher and up.....things will be sorted out.....

Twende sasa #ManUnited

.....aaaaaaaaaah, yamekuwa hayo leo?
heheheheh.....
#MoyesOut !!!
 
Last edited by a moderator:
Sawa pundit......
Mkuu, mbona unaongea kwa lugha ya masikitiko kiasi hiki!

Samahani kwa kukukwaza lakini lawama zimfikie David Moyes na wale wote waliodhani kuwa manager mzuri pia unakuwa na uwezo wa kumpata manager mwingine mzuri.

Msikotishi mwenzake Adam Smith aliyaona mapungufu haya mwaka 1776 ndani ya kitabu kinachoenda kwa jina la The Wealth of Nations.

Ninapita tu na kuwapa pole kwa msiba uliowafika leo ndani ya 'Theatre of daydreamer'.
 
Kwakweli mwaka tumeuanza vibaya aaaggrrr!! Sijui tuombe mechi zetu zote tucheze ugenini?
 
Kelele zilikuwa nyingi oooh tumepunguza gape kutoka 15 hadi 7 kutoka kwa aliyekuwa kileleni kumbe walikuwa wamesahau kuwa gape liliwah kufika 5 lakin wakaanza kuliongeza na sasa ndio mnaanza kuongeza gape awamu ya pili. Yaani kama ni series hii ni season 2 episode 1.
 
Heri ya mwaka mpya shemeji.
Shem siku nyingi sana sijakuona na kukusikia!.

Kwa sasa ninaona Dada yangu anafanya kazi kama inavyotakiwa!.

Pitisha pia heli ya Mwaka Mpya kwa Dada yangu na mwambie kazi yake imeanza kuzaa matunda ya neema katika familia.

Poleni kwa yote yaliyowapa ndani ya uwanja wa 'Theatre of Dream'.
 
Mkuu, mbona unaongea kwa lugha ya masikitiko kiasi hiki!

Chifu, siwezi kusikitika wakati naelewa matokeo yanayoweza kutokea katika soka, kushinda, kufungwa ama droo.

Samahani kwa kukukwaza lakini lawama zimfikie David Moyes na wale wote waliodhani kuwa manager mzuri pia unakuwa na uwezo wa kumpata manager mwingine mzuri.

Hapa ndipo uwa mnanifurahisha nyie goons. Hivi Arsene Wenger alivyotokea kwenye nchi iliyokuwa haipo katika ramani za soka, alikuja pale Arsenal kwa sababu gani? Rekodi zipi ndizo zilizomleta Arsenal? Uzuri gani ndiyo ulimfanya apewe mkataba wa kufundisha goons?!?

Katika hili la coaching, ukiliongelea kinazi, siwezi kujadiliana nawe, lakini ukiliongelea kiupenzi wa soka, utaelewa, siyo kazi rahisi kwa timu iliyokuwa na kocha mmoja kwa miaka 27, kupata kocha mpya na kufanya vizuri instantly.......transition period lazima iwepo.....na uzuri, hapa OT, bodi inaelewa, na siyo utamaduni wa #ManUnited kufukuza makocha.......

Juzi niliweka article moja inayomuongelea David Moyes, kajaribu kuisoma kidogo......

Tukijadili kwa records, David Moyes is better off than Arsene Wenger if the two are compared in the context of what they were doing before coming to #ManUnited and Arsenal respectively......

BTW, I am also amazed by how Arsenal fans troll on Moyes' performance at #ManUnited
I think you are forgetting that Wenger and Arsenal has gone through 8 years of title drought at Arsenal......I wonder how you are now calling the man 'professor'......and then trolling on Moyes who has just been there 6 months!!!

Come on, get real!!

Ninapita tu na kuwapa pole kwa msiba uliowafika leo ndani ya 'Theatre of daydreamer'.

Naamini hayo maneno juu yanafurahisha jukwaa....otherwise don't try to make a chump out of yourself.....

Just to sum up.....I know how #haters celebrate more when #ManUnited lose than when their teams win!!!

#AmazingClub
 
Come on Utd.....

My prediction: Final Score Utd 3 Spurs 2

Well Done Boys
Subiria highlight usiku wanaonyesha Pengine utapata bahati ya kuona Manchester United Kuwa 3-2 kila kitu kinawezekana kwa fundi mitambo hehehehe. Pole mpira unadunda na kujaa nyavuni na siku kuipata refa kajaaa mate ya mdomo ndio utafurahia matokeo.
 
Kheeeee kheeeeeee kheeeeee MANU hatushikiki!!!! Hamjambojambo mtaa huu? Madudu ya Mo No yanazidi kushamiri dah!!! Poleni kwa kuuanza mwaka vibaya ndio ukubwa huo 🙂🙂
 
Subiria highlight usiku wanaonyesha Pengine utapata bahati ya kuona Manchester United Kuwa 3-2 kila kitu kinawezekana kwa fundi mitambo hehehehe. Pole mpira unadunda na kujaa nyavuni na siku kuipata refa kajaaa mate ya mdomo ndio utafurahia matokeo.

Kijana net yako ni ya kuunga unga?

Unaonekana siku ambazo timu bora ikifungwa sio
 
Tumekuwa tunafanya makosa kuruhusu magoli mapema,I wish tucheze game zote away
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom