Huyu kipa wa Spurs michosho kinoma afu kuna watu walikuwa wanamtaka aje Arsenal....Spurs watafungwa kama sio matatu basi manne... wanavyopoteza mipira utazani wachezaji wa Simba 1980's
1-2 Dannnyyy...
mimi sio mtabiri hayo ni maoni yangu.... kuna tofauti kubwa sana, sio kila anayesema huyu atashinda yule atafungwa anatabiri.....na wewe unatabili uongo tu kutabiri kwenyewe unababia tu