Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Mmiliki wa timu anatamani ayapige risasi haya majitu, una lipa £1000000+ kwa wiki halafu yanacheza hivi?




Kweli Kosi limeshiba......
Hana kitu, anamaneno tuu Hana zaid ya Domo..Sio wachezaji tuu, hata huyu kocha hamna kitu
*Aibu


Kocha alitakiwa amtoe mapemaRonaldo anakimbiaga kipigo Sasa Leo kaingia Cha kike wallahi kayakanyaga![]()