Kmmamamake wametuweka goli la 4


kmmaaaeee Brighton leo wamepaka vumbi la congo halafu FA wanawaangalia tu, hawa wasipozuiwa kuendelea na gemu lazima wafumue mshono huu sasa ni ubakaji.
😂😂😂😆😆😆 Dunia nzima ina furaha hata Ronaldo anatabasamu japo wamefungwa.





Hii Timu kama ingekuwa ni gari basi mmiliki angeamua tu kupaki au kuiweka juu ya mawe.! Mpaka ifanyiwe huduma.Ila mmemsema sana Maguire kumbe timu lote ni bovu.
Tunapiga come back matata sana hapa. TuliaHumiliating defeat, sijui hali ikoje vibanda umiza. Nipe taarifa kama upo huko
Mashabiki kindakindaki wamesepa, tuliobaki tumeona bora tulewe tuHumiliating defeat, sijui hali ikoje vibanda umiza. Nipe taarifa kama upo huko

Wakipindua naachana na Liver naanza kushabikia Man U leo.Manchester tunapindua meza