Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Lkn hapo wanaonywa mkuuUmeona ss maingereza tu ndiyo yanapewa opportunity yaje kuzoea pesa za bure lkn uwezo hamna, mazito na hayanyambuliki.
Umejiandaa nikupige goals ngapiRangnick: “We will try to play the best possible team of the players that are available. We have 14 of our first-team available, without the youngsters. Probably three or four of those young players will be in the squad.”
Dunia yote leo imejaa tabasamu,Siku ya furaha ni leo wakati wa furaha umefika
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction Manchester 2 chelsea 0

🤣🤣🤣🤣Dunia yote leo imejaa tabasamu,
Nimekatiza maeneo ya kigogo na jangwani naona watu wote wako na nyuso za furaha kinoma, nikapata mashaka kidogo nikawauliza nyie vipi mbona mko na furaha namna hii wakati nyumba zenu zinasombwa na maji?
Dogo mmoja ndio akanidokeza kua leo Manchester United ipo uwanjani ndio maana kitaa kuna shangwe kama lote.
allypipi naomba hio mambo ya Prediction uachane nayo kwa sasa, maana tokea umeanza kupredict matokeo yanakuja vice versa![]()
Nakubali😅😅😅Dunia yote leo imejaa tabasamu,

Mkuu cheltako leo atoboi.Dunia yote leo imejaa tabasamu,
Nimekatiza maeneo ya kigogo na jangwani naona watu wote wako na nyuso za furaha kinoma, nikapata mashaka kidogo nikawauliza nyie vipi mbona mko na furaha namna hii wakati nyumba zenu zinasombwa na maji?
Dogo mmoja ndio akanidokeza kua leo Manchester United ipo uwanjani ndio maana kitaa kuna shangwe kama lote.
allypipi naomba hio mambo ya Prediction uachane nayo kwa sasa, maana tokea umeanza kupredict matokeo yanakuja vice versa![]()
Wana nguvu yakufanya hivyo?Ningependa leo Mumdunde Chelshoga 😂😂😂
Hata kwa 20 wamchukue tu.crystal palace wameonyesha nia ya kutaka kumsajili aron wan bissaka. Hawa wahuni walituuzia kwa paundi million 50, unadhani thamani ya wan bissaka wa sasa ni kiasi gani?
Nikajua Mandingo***A selfie of the new Man Utd manager View attachment 2196847
Na inapaswa kuwa hivi.Board isitugeuke tu.View attachment 2203896
Hasa sisi majirani.Siku ya furaha ni leo wakati wa furaha umefika
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction Manchester 2 chelsea 0
Maguire kajivunja hataki lawama.View attachment 2203205harrymaguirre anawakati mgumu Sana