Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kuna uwezekano ralf rangnick akatangazwa kuwa kocha mpya wa taifa la AUSTRIA. Ngoja tusubirie hapo kesho FA ya austria itamtangaza kocha yupi, wiki 3 zilizopita FA ya austria ilikanusha habari za kufanya mazungumzo na ralf rangnick lakini kuna chombo habari kimefufua upya uvumi huo mchana wa leo.
 
Sasa huyu Ralph c atakuwa mshauri benchi la ufundi la man u?
 
Hahaha [emoji23] Boss nakuona, hako ka feeling unakosikia Elanga akipangwa ndiko tunakasikia Ronaldo akipangwa alafu apigwe sub analalamika.

[emoji23][emoji23] Anyway namuombea Ronaldo amtulize chelwowo, haiwezekani Arsenal, Liverpool, Man city, watujazie nzi humu.
Ss Ronaldo unampiga sub alafu aingie nani? Lingard au?
 
Lets focus katika game yetu ijayo usiku wa leo na As Roma. Mimi nafikiri Fergie aweke formation ya 4-5-1, kwasababu ni away game na awa jamaa watakuwa na usongo sana na sisi. Kikosi kama kama;

Gone are the days
1; Van Der Sar (mdoli)
2;Brown (mtoto wa mbwa)
3;Evra (mtoto wa manzese)
4;Vidic (waziri wa ulinzi)
5;Rio (teja,baba mwenye nyumba)
6;carrick (mzee wa rula)
7;ronaldo (software)
8;scholes (zeruzeru)
9;Runi (tyson,mbogo,hardware 1)
10;owen(hardware 2)
11;Giggs (womanizer,mzee wa kukimbiza)
Sio tu history itatulinda bali pia tupo JUU!!, waleteeeeeeee!!
Nimesahau benchi; Tevez (simba mtu), Oshe'a (mpare),kusczkak(kinyani),pique,ander(lucky dube)
 
Ronaldo anazidi kuwaprove wrong haters wake.
Huyu jamaa analijua goli vibaya mno ila bahati yake mbaya amekuja na kuikuta timu yenyewe ipo ICU, ila angesajiliwa kwenye timu iliyokamilika kama Liverpool au Man city huyu mwamba lazima angechukua kiatu cha dhahabu na pia ndie angekua mchezaji bora wa EPL 2021-2022.
 
Back
Top Bottom