Hivi kwanini hawakumpa Ronaldo awapigie??ah sii jamaa zake wakina lindelof ndio wanachomesha zaidi na yule pua ya mwarabu anakosa penalty kifala kweli baadala ya kumpa ronaldo afanye mambo

Hatar mzee nahisi possesion ingekua 95% kwa 5% mpira wa kasi sana...wachezaji wanajituma ukiangalia wengi makinda tu phoden,Camavinga,Vini jr, na uyu Rashford,Sancho,Elanga wote Umri mmoja tofaut ni kujituma tu limepigwa pira Biriani mpaka unaona raha aiseeHuwa najiuliza kwa huu uchezaji wetu huko UCL huwa tunataka kwenda kufanya nini?
Mie kusema kweli Man Utd wanataka kunistaafisha ushabiki wa mpira.
Alafu wanakwambia aondoke ni mbinafsi, kweli mazoea kitu mbaya sana.Ronaldo.
CR7 hata umchukie vipi ila itafika wakati anakufunga mdomo tu kwa vitendo vyake.Alafu wanakwambia aondoke ni mbinafsi, kweli mazoea kitu mbaya sana.
Shida ya Man Utd sio kocha wala formation.Huwa najiuliza kwa huu uchezaji wetu huko UCL huwa tunataka kwenda kufanya nini?
Mie kusema kweli Man Utd wanataka kunistaafisha ushabiki wa mpira.
Wanataka kumharibia ten hag kwa kuanza kumshauri asajiri maingereza. Huyu kocha asipokuwa makini atajaziwa average players alafu atajikuta anafukuzwa. Kwnn asimuige Pep kusajili wachezaji wa Amerika kusini huko au Wareno, wahispania na waholanzi lkn co maingereza.View attachment 2202185
View attachment 2202180
huyo aliyeripoti habari ni laurie whitwell, ni TIER 1
Umeona ss maingereza tu ndiyo yanapewa opportunity yaje kuzoea pesa za bure lkn uwezo hamna, mazito na hayanyambuliki.