Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Why wasifanye sub ya bruno, naona kichwa hakiko sawa hadi kapokonywa mpira goooool
 
Naona kocha wa makocha anatoa lawama, kila mtu acheze

Hizo sub ni kutarajia kamba ya nne na ya tano
 
Trashford na Lingard wanaingia kufanya nini kama si kuongeza uvivu wa kutafuta ushindi?
 
Poleni sana ndugu zangu 🤣🤣🤣🤣

Mlikuwa mna maneno mengi nyie ety
Manchester united kama siyo mabingwa wa England Basi mabingwa wa UCL

Hehehehe
 
Hii timu angepewa Furguson na uzee wake huu angebeba EPL kila msimu
 
Back
Top Bottom