Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Refa kavu Sana. Sema hii mechi sio ngumu kwetu. Tukiwa serious tunashinda
Yeah kwa kuwa na umoja mbele, mfano pale pa Fernandes angempa Ronaldo, Ronaldo chance ile ya mpira kugonga mwamba angesukumiza kwa aliye na upenyo.

Elanga angewaza kufumua sio Penalty.
 
Dogo ile sio bahati. Anajituma Sana na uwezo anao. Bado anasumbuliwa na utoto. Kadri siku zimavyoenda atamature, hata Rashford alianza hivi
Atakomaa zaidi akipata kocha anaye angalia unaleta nini mezani sio wewe staa akuweke, hatufiki hapo.
 
Marefa wanatakiwa kumfahamu Saka, kijana anaanguka anguka hovyo hata kama hajasukumwa
 
Bruno ni mchezaji wa msimu mmoja, machachari yake wa msimu wake wa kwanza kuisha
 
Back
Top Bottom