Hio Logic unayoleta haina mantiki, kwa hio Scholes, Giggs, Neville, na wengineo walikuwa ni wachezaji wabaya? Sababu timu yenye Hadhi ni Man united?
Ni ngumu sana Mchezaji mzuri wa Academy kutoka Club yake unless kuwe na Zengwe.
Na Mkuu kwenye Mpira kuna falsafa kila Kocha na mbinu zake, Pep hakuwezana na Ibra Alikaa sana Benchi, Ibra ni Mchezaji mbaya? Mou na kaka, Pep na Ronaldinho, Mou na Shevchenko na wengine wengi tu.
Msimu uliopita Rashford kacheza mechi 37 epl na mechi 6 UCL kamiss mechi 1 tu unasemaje anakaa bench? Kwenye mifumo ambayo yeye ni. Muhimu kama wakati wa Ole sijamuona akikaa Bench, hata miaka 25 hajafika Tayari anamechi karibia 300.