Murtough ni mzoefu, ana mwaka wa 13 sasa kama Exec wa Timu. 2008 mpaka 2012 Everton, 2013 mpaka 2016 Academy yetu na 2021 akawa Director wetu.
Sihitaji kuelezea CV yake Everton ila kama ni mshabiki wa mpira Everton ya Moyes unaijua walikuwa wananusa top 4 miaka kama yote.
Pia 2013 mpaka 2016 academy si Haba Tumetoa watu wa Kutosha Kina Rashford, Henderson, Greenwood, Mc tominay etc wapo kizazi hiki.
Na toka 2021 ateuliwe mambo mengi yamekuwa smooth usajili wa Varane mzuri kwa Bei tuliompata rahisi, Sancho Ok, Ronaldo Mzuri, Yeye ndie Aliemleta Ragnick, na Ndie Aliemleta Ten Hag.
So far so Good, kwangu, As long as Woodward na Genge lake Hawataingilia Football matters jamaa yupo vizuri.
Na Fletcher nafkiri pia yupo kama link ya Benchi la ufundi na Hao mabwana wakubwa, mambo mengi ameyatolea ufafanuzi na jamaa namuelewa, mfano Msimu huu aliongelea namna tulivyotafuta Kocha wa set piece na ukiangalia mwanzo wa msimu wote hatukuwa tukifungwa kabisa magoli ya Corner na free kick.
Na tumekuwa linked na Technical director mwengine Paul Mitchel, ambaye amefanya kazi Spurs, Rb leipzig (Chini ya Ragnick) na sasa Yupo Monaco, ila spurs alikuwa head of recruiting. Hivyo kwetu anaweza pia kuja kufanya same job maana Tumefukuza viongozi wote wa mascout.
Kifupi mkuu kwa sasa kuna Hope za kutosha, Football people wapo wengi na wengine wanakuja.