Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,352
Lawama lazima, kujenga team sio msimu 1 au 2Kwahy tumekubaliana tutaanza kumlaumu Ten Hag msimu ujao.!
Lawama lazima, kujenga team sio msimu 1 au 2Kwahy tumekubaliana tutaanza kumlaumu Ten Hag msimu ujao.!
Jamaa anaona sijui ni nyanya hizo 😂So hao wa 4, 5 au 6 ni wachache?
Kwa united haihitaji nadharia ya kusibiri miaka kubeba taji, ni mwendo kugombea ubingwa. Take my wordLawama lazima, kujenga team sio msimu 1 au 2
Murtough ni mzoefu, ana mwaka wa 13 sasa kama Exec wa Timu. 2008 mpaka 2012 Everton, 2013 mpaka 2016 Academy yetu na 2021 akawa Director wetu.
Sihitaji kuelezea CV yake Everton ila kama ni mshabiki wa mpira Everton ya Moyes unaijua walikuwa wananusa top 4 miaka kama yote.
Pia 2013 mpaka 2016 academy si Haba Tumetoa watu wa Kutosha Kina Rashford, Henderson, Greenwood, Mc tominay etc wapo kizazi hiki.
Na toka 2021 ateuliwe mambo mengi yamekuwa smooth usajili wa Varane mzuri kwa Bei tuliompata rahisi, Sancho Ok, Ronaldo Mzuri, Yeye ndie Aliemleta Ragnick, na Ndie Aliemleta Ten Hag.
So far so Good, kwangu, As long as Woodward na Genge lake Hawataingilia Football matters jamaa yupo vizuri.
Na Fletcher nafkiri pia yupo kama link ya Benchi la ufundi na Hao mabwana wakubwa, mambo mengi ameyatolea ufafanuzi na jamaa namuelewa, mfano Msimu huu aliongelea namna tulivyotafuta Kocha wa set piece na ukiangalia mwanzo wa msimu wote hatukuwa tukifungwa kabisa magoli ya Corner na free kick.
Na tumekuwa linked na Technical director mwengine Paul Mitchel, ambaye amefanya kazi Spurs, Rb leipzig (Chini ya Ragnick) na sasa Yupo Monaco, ila spurs alikuwa head of recruiting. Hivyo kwetu anaweza pia kuja kufanya same job maana Tumefukuza viongozi wote wa mascout.
Kifupi mkuu kwa sasa kuna Hope za kutosha, Football people wapo wengi na wengine wanakuja.
View attachment 2195411
Makocha wenye vipara huwa hawakosi makombe,huyu uefa anaijua vizuri sana,timu B imalizie msimu angalau tupate 4 bora tucheze Uefa na Mwamba japo uvumilivu unahitajika kujenga timu si kitoto.
Mngewatia upara Rangnickelodeon na Ole SendekaView attachment 2195411
Makocha wenye vipara huwa hawakosi makombe,huyu uefa anaijua vizuri sana,timu B imalizie msimu angalau tupate 4 bora tucheze Uefa na Mwamba japo uvumilivu unahitajika kujenga timu si kitoto.
As long as kuna Structure hata piece moja ikiondoka haisababishi madhara tofauti na one man show ya Woodward.Huyu naye baada ya Msimu mmoja tu anaweza kukataliwa.
AkubaLi kuachia armbag. Na afwaye ushaur wa vidic. La sivyo atainjii show
As long as kuna Structure hata piece moja ikiondoka haisababishi madhara tofauti na one man show ya Woodward.
Ngoja nimsaidie mkuu.....wewe structure unayotaka kuiona ni ipi?Hiyo Structure munayoiongelea Mitandaoni kumbukeni ni Maoni ya Watu na sio Agenda iliyojadiliwa na kuwa implemented na Bodi ya Timu.
So, nawashauri punguzeni too Much false hope na rudini kwenye reality.
Ukweli ni kwamba there's nothing going on kinachoitwa new Team structure except media rumors! You'll never see something like that kwenye official website ya Man U.
Sahihi sanaAs long as kuna Structure hata piece moja ikiondoka haisababishi madhara tofauti na one man show ya Woodward.
Kwa hio woodward kajiuzulu, Murtough na Fletcher wamepewa vyeo ambavyo havikuepo mwanzo, Head wa scout wamefukuzwa, Murtough kaonesha usajili, RR kaletwa na role juu kapewa etc unahisi ni Rumors hizi?Hiyo Structure munayoiongelea Mitandaoni kumbukeni ni Maoni ya Watu na sio Agenda iliyojadiliwa na kuwa implemented na Bodi ya Timu.
So, nawashauri punguzeni too Much false hope na rudini kwenye reality.
Ukweli ni kwamba there's nothing going on kinachoitwa new Team structure except media rumors! You'll never see something like that kwenye official website ya Man U.
Nani yupo responsible kwenye kutoa mishahara mikubwa pale United?Murtough ni mzoefu, ana mwaka wa 13 sasa kama Exec wa Timu. 2008 mpaka 2012 Everton, 2013 mpaka 2016 Academy yetu na 2021 akawa Director wetu.
Sihitaji kuelezea CV yake Everton ila kama ni mshabiki wa mpira Everton ya Moyes unaijua walikuwa wananusa top 4 miaka kama yote.
Pia 2013 mpaka 2016 academy si Haba Tumetoa watu wa Kutosha Kina Rashford, Henderson, Greenwood, Mc tominay etc wapo kizazi hiki.
Na toka 2021 ateuliwe mambo mengi yamekuwa smooth usajili wa Varane mzuri kwa Bei tuliompata rahisi, Sancho Ok, Ronaldo Mzuri, Yeye ndie Aliemleta Ragnick, na Ndie Aliemleta Ten Hag.
So far so Good, kwangu, As long as Woodward na Genge lake Hawataingilia Football matters jamaa yupo vizuri.
Na Fletcher nafkiri pia yupo kama link ya Benchi la ufundi na Hao mabwana wakubwa, mambo mengi ameyatolea ufafanuzi na jamaa namuelewa, mfano Msimu huu aliongelea namna tulivyotafuta Kocha wa set piece na ukiangalia mwanzo wa msimu wote hatukuwa tukifungwa kabisa magoli ya Corner na free kick.
Na tumekuwa linked na Technical director mwengine Paul Mitchel, ambaye amefanya kazi Spurs, Rb leipzig (Chini ya Ragnick) na sasa Yupo Monaco, ila spurs alikuwa head of recruiting. Hivyo kwetu anaweza pia kuja kufanya same job maana Tumefukuza viongozi wote wa mascout.
Kifupi mkuu kwa sasa kuna Hope za kutosha, Football people wapo wengi na wengine wanakuja.
Ni Judge huyo huyo, hao watu wa Finance hawawezi kuwa replaced na Watu wa mpira.Nani yupo responsible kwenye kutoa mishahara mikubwa pale United?
Kazi halisi ya Matt Judges ni ipi? Haiwezi kuwa replaced na mtu kama Rangnik au DoF?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mtu wa recruitment alitakiwa afanye negotiation na mchezaji.Ni Judge huyo huyo, hao watu wa Finance hawawezi kuwa replaced na Watu wa mpira.
Hakuna shabiki anaweza kumlipua Halima Gwaya anapewa jamba-jamba tu.Nasikia magwaya huko ameripoti kwa polisi kuwa kuna raia wanataka kuchomoka na uhai wake![]()