Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tukifungwa leo na Norwich ndio nitakata tamaa rasmi ya top 4,
Yaani timu inayoshika mkia wa ligi itufunge itakua hamna hata hio maana yenyewe ya kuwepo top 4.
Hapa ni kumuombea njaa tu AsaniAli achapwe kama alivyochapwa Tottenham.
Le captain mwenyewe Halima Gwaya tunakuomba plz leo usifunge kwenye goli letu.
 
Magwaya team captain


[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Beki yenye magoli mengi kwenye ligi, jamaa hua halichagui goli la timu ipi ndio lifunge, likipata nafasi nzuri hua linatia kamba tu hata kwenye goli la timu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maguire beki kubwa linakukera kila mechi naona analysis inaonesha Maguire ndie kaacha Postion Pukki kapita.

Benchi hatuna kocha wa Positioning, naona ni tatizo kubwa kuanzia nyuma hadi mbele na ndilo linasabisha pass ziwe back passes
 
Back
Top Bottom