


😁😁😁Maguire qumamake sasa mpira umekua kichwa cha POGBA.
HILI BEKI *****
Likosi la kijinga sanaNorwich city hawajawi kufunga goli mbili za away msimu huu lakini leo Old Traford wameweza
walitwambia huyu alikua mwalimu wa klopu na tucheli......Huyu wa Man U ndo kocha sasa, achana na wale makocha wa Liverpool, Chelsea na City ni wa mchongo.
Mitano tena kwa kocha wa Man u professor RR
Kwakweli team linamtesa hiliRonaldo oyeee
We appreciate, next season achana na hili litimu