🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Dah kila mchezaji anayepostiwa watu hawamtaki wanasema AENDE TU.
Binafsi Ten Haag
Safisha
Maguire (Halifai hata kuvaa jezi)
Pogba, Ronaldo, Rashford (Usupastaa wa ukilaza)
Lingard, Jones, Shaw, (Uingereza usio na faida)
Hawa wanahitaji kukemewa
Bruno (Mlalamikaji mkubwa ila cha ajabu ndie anapiga piga hovyo mipira mawenge mengi inabidi aambiwe ukweli)
Hawa wanahitaji Confidence boost na kuwajengea uwezo.
McTomminay (Volley yuko poa, mashoot yuko poa, sema confidence kwishney hajiamini vile, dribbling yake naikubali inahitaji arudishiwe confidence aache faulo)
Wan Bissaka (Namkubali sana, ila dogo anahitaji confidence boost akisogea mbele ajiamini ili awe anatoa crosses pia anaweza kuwa trained as CB kumuepusha na lawama za attack)