Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.
JamiiForums-969337872.jpg
 
Kwenye football hakuna kitu ambacho hakiwezekani ....ila Kuna ugumu tu kitu kutokea ...

Ni rival harafu kumbuka ni

11 men's Vs 11 men's .....
Hahah! Leo unavutia upande wetu!!! Kwenye North-West Derby safari hii hatuwi wanyonge. Kumfunga Liverpool ni ngumu lakini inawezekana kabisa, katika miaka minne Liverpool tumewafunga mara moja tu ile mechi ya FA Cup 3 - 2 wao walikuwa bora zaidi yetu lakini individual brilliance ilitufanya tukashinda mechi.

Ukitoa kupambania kushiriki mashindano ya Ulaya next season wachezaji wetu pia wanajua historia na umuhimu wa hii mechi tena kipindi ambacho Liverpool wanaukimbizia ubingwa na bado tunakumbuka zile 5 za kipindi cha Solskjaer, this time baada ya mechi lazima wanune wao.

We'll upset them, we'll embarrass them, we'll humiliate them. Cause we're the famous Man. United!!!
 
Nakumbuka wakati Scholes anastaafu alifanyiwa mahojiano maalum na swali ninalolikumbuka aliulizwa angependa nani awe mbadala wake pale united. Alipendekeza majina matatu lakini alimkubali zaidi LUKA MODRIC.
Sijui kwa nini hadi leo hii huwa inaniuma sana manchester united kutomsajili Modric
 
Daah mwamba unapenda kuota ,,

Amka usije ukakojoa

Mkuu hauna huwezo wa kufunga Liverpool anfield wewe.mkuu mtapunguza tu magoli kumfunga Liverpool hamuwezi.liverpool ina kikosi bora kwa sasa duniani wanafunga balaa wana goli 79 kwenye ligi kila mechi lazima afunge goli 2 sasa wewe ili umfunge unatakiwa ufunge goli 3,yeye kila mechi lazima afunge goli 2.mashindano yote mpaka sasa Liverpool kafungwa mechi 3 tu na leicester,westham na inter milan tu tangia mwaka umenza Liverpool anagawa vipigo tu hata Arsenal walisema watamfunga Liverpool mwisho wa siku wakafungwa.

Wachezaji wenu wavivu sana sasa kwa style hiyo huwezo kumfunga Liverpool anfield wewe Liverpool imeimalika usikalili na hata msimu ujao watakuwa tu tishio.
 
Huo ndiyo ukweli hatuna uwezo wa kuwafunga Liverpool, kiuchezaji na takwimu wapo mbali sana lakini haimaanishi kwamba United hawawezi kushinda.
 
Nakumbuka wakati Scholes anastaafu alifanyiwa mahojiano maalum na swali ninalolikumbuka aliulizwa angependa nani awe mbadala wake pale united. Alipendekeza majina matatu lakini alimkubali zaidi LUKA MODRIC.
Sijui kwa nini hadi leo hii huwa inaniuma sana manchester united kutomsajili Modric
Alikuwa aje utd na mambo yalikuwa yanaenda vizuri lkn mambo yakaharibika baada ya Madrid kupeleka offer jamaa alichagua Madrid, c unajua utd kwenye usajili huwa inazubaa sn hasa kwenye usajili wa wachezaji wazuri, hiyo ni jadi yetu, so tukazubaa jamaa wakapeleka offer wakamchukua.
 
Nakumbuka wakati Scholes anastaafu alifanyiwa mahojiano maalum na swali ninalolikumbuka aliulizwa angependa nani awe mbadala wake pale united. Alipendekeza majina matatu lakini alimkubali zaidi LUKA MODRIC.
Sijui kwa nini hadi leo hii huwa inaniuma sana manchester united kutomsajili Modric
Wakati Ferguson anastaafu kuna wachezaji wengi sana ambao United iliwahitaji lakini ilishindwa na walienda kuwa tegemeo katika vilabu vyao.
 
Halima Gwaya Ni Mtego Kwenye Timu Yetu Sio Bure Yuko Kimkakati Pale United Huyu Jamaa Akiachwa Na Ule Mbichwa Wake Unaochelewa Kutafsiri Maelekezo Ya Kocha Ataua Viwango Vya Wachezaji Wazuri Watakosajiliwa Na Ten Hag Msimu Ujao.
 
Back
Top Bottom