The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mpaka mwisho wa wiki hii kitaeleweka tu.
Ten Hag Akipewa Timu Rasmi Tegemea Kabisa Kumuona Donny First Eleven Msimu Ujao..maisha bana ole kaondoka na rangnick donny yupo na ukute namba atapata
"Mpira unadunda."Hivi unadhani mnaweza kutufunga mkuu?![]()

Siyo kwa man u kutufunga aisee"Mpira unadunda."![]()



Itategemea na performance yakeTen Hag Akipewa Timu Rasmi Tegemea Kabisa Kumuona Donny First Eleven Msimu Ujao..
Muulize Chelsea alifanywaje wakati united inapigika na kila mtu ...Siyo kwa man u kutufunga aisee
Kwa timu yetu ilivyo sasa,na man u ilivyo..
Yaani man u sasahivi wanaweza fungwa hata na Geita FC.
Yaani man u atufunge sisi?Muulize Chelsea alifanywaje wakati united inapigika na kila mtu ...
Kwenye football hakuna kitu ambacho hakiwezekani ....ila Kuna ugumu tu kitu kutokea ...Yaani man u atufunge sisi?
Acha dharau mkuu.
Men's wa united???Kwenye football hakuna kitu ambacho hakiwezekani ....ila Kuna ugumu tu kitu kutokea ...
Ni rival harafu kumbuka ni
11 men's Vs 11 men's .....
Una uhakika wa 100% Liverpool kuchukua point tatu zote mbele ya Man UTD?Men's wa united???
Manake hapo kwanza ncheke![]()
Hili halina mjadala mkuuUna uhakika wa 100% Liverpool kuchukua point tatu zote mbele ya Man UTD?
Kashapewa, ndio kocha wetu.. miaka mitatu with additional ya one year. Yawezekana wamekubali masharti yake kwahiyo pengine tutaona sajili za tofauti kabisa na baadhi ya mabadiliko.. ngoja tuoneTen Hag Akipewa Timu Rasmi Tegemea Kabisa Kumuona Donny First Eleven Msimu Ujao..
Na ktk masharti yake kaomba awe na power ya maamuzi, wanatimua wengi sana paleTegemea mizoga hio ya akina fegi wataondoka wote, mana Haag sio mtu wa kulamba miguu mabosi.
Gallagher ngumu sana, next season ana namba pale darajani ukijumlisha na situation iliyopo hapo sio rahisi kabisa..1.Conor Gallagher
2. Kelvin Philips/Tchouamen
3. Patrick Shick
4. Robin Gosen
5. Alex Maehle
Hao ni wachezaji ninaotamani sana kuwaona katika uzi wa Manchester United.
Mkuu mpira unadunda, tunaweza kumpa kombe jirani yetu 😂Yaani man u atufunge sisi?
Acha dharau mkuu.
Gallagher anauzika vizuri tu kama United wakimhitaji.Gallagher ngumu sana, next season ana namba pale darajani ukijumlisha na situation iliyopo hapo sio rahisi kabisa..
Gallagher kwa chelsea siyo destination nzuri uwepo waImeandikwa usitamani cha jirani yako wala mtumishi wake. Gallagher mali ya THE BLUES hauzwi ogopa matepeli.