Magwaya ni mtu na nusuMagwaya on the pitch
![]()
Lampard anacheza 4 3 3 ila hana wachezaji wa kumaintaimln hiyo formation
Hata hivyo Everton ni jungu kuu
Acha bwana😃Ongeza hapo man utd 4-0 Everton
Naona hesgoal hawainesh hii game
Site gan nyingine wanaonesha ?
Chief nashindwa kumterm Lampard kama kocha mbaya coz nimemuona akiwa na chelsea iliyozuiwa kusajili na timu ilikua inacheza vizuri.Mkuu Castr Lampard ni kocha mbovu, timu haieleweki inatafuta nini wakati alipewa january transfer window ameshindwa hata kufix matatizo ya msingi.
Eddie Howe pale Newcastle alikuta techhnical level ipo chini sana ila anaonesha somehow nini anafanya
Akifungwa leo afukuzwe walete kocha mzuri kuinusuru timu .
Cheki hesgoal.tvNaona hesgoal hawainesh hii game
Site gan nyingine wanaonesha ?
Magwaya ni beki mshambuliaji, ndio beki inayoongoza kwa kufunga magoli mengi uingereza, uzuri wake hua hachagui goli la kufunga, liwe la timu yake au timu pinzani yeye anatikisa tu nyavu.Magwaya ni mtu na nusu
Fred kapata injury.Hahaha huyu kocha bwana.
Rangnickelodeon kufikia dakika ya 36 anagundua kikosi alichopanga ni utumbo.
Na anamtoa nani? Fred
Mbona imesemwa ni tactical substitution?Fred kapata injury.
Lakini ukweli usemwe.Rangnick siyo kocha. Ni motivational speaker aise.
mkuu wengine majina yetu haya(natania)Mbona imesemwa ni tactical substitution?
Kuhusu kutokua kocha nimesema tangu zamani.
Huyu ni sawa na umpe timu Kashasha (RIP)
Everton wameshapata Goal lao moja.Yani watu wamepata uzuni kwakweli kwa kutoiona hii timu uwanjani siku ya happy imefika
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
Prediction= Everton 1 Manchester united 4View attachment 2181294