Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Skizeni nyie matakataka, tuwape Bakayoko na Batshway waje kuwasaidia maana kwa utopolo munaocheza basi hawakosi namba wale ..Bakayoko ni middle na nusu ..huyu Batshway ndio balaaa haakuna uingereza nzima..
 
kwa fegi sina shaka yupo ndo mana fletcher kala shavu
 
Itakuwa aliwafundisha mpira wa mchangani siyo hii profeshno footballπŸ˜€πŸ˜€πŸ€£
 
Ukisikia shetwaani ndiyo huyu SasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..anakwambia endesha gari spidi uwezi para ajali, ukipata anakucheka hahaha, eti wampe miaka minne huyu gengeni style..😳😳😳
 
Leo inatakiwa tushinde ili OllaChuga Oc aendelee kujificha huko huko kwa rikiboy
Hahahahahaha woooyowooyowooyooo wazee wa mijegeje tumerudishwa kwa Kasi ya duma na vijana wa lampard, apa ni mwendo was kuwasagia kunguni TU
Tusikitike kwanza tchetchetche!! Alafu tutoe machozi kidogo kwa msiba huu😭😭😭

Halafu Sasa tuanze kuwacheka hahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

Tuimbe Sasa alafu .."nyumbu ni nyumbu TU, ooohoo nyumbu bwana, atabaki kuwa nyumbu TU"Γ—2πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…