UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 739
- 905
Hizo salary zao sasa daaah zinatisha...
Aliyemsainisha fernandes miaka minne ni nani?
Nikukojolee ndani?Kojoa ukalale
Misimu miwili inaisha Manchester anashindwa kumfunga Leicester,Beating Leicester at home isn’t for everyone… we’ll definitely take that result! Bring on Monday…
View attachment 2173330
HAPA UNITED KILA KOCHA ANAYEKUJA ANA MCHEZAJI WAKE ANAYEMPENDA NA ANAYEMUANGUSHA SANA...WAKATI ULE TULIKUWA NA MASHO" WAKATI HUU TUNA SANCHO. WINGA HAPIGI HATA KROSI MOJA!!!! CHENGA NYIIINGI MAAMUZI YA MAANA HAMNA..WAKATI TUNACHEZA MPIRA TULIKUWA TUNAWAITA "MACHACHARI LAKINI SIO HATARI"
Papara huwa zinaponza, andika kwa utulivu.Mdomo huwa ndio inawaonza
Mtanyooshwa hadi mkae sawa
Soma tenaPapara huwa zinaponza, andika kwa utulivu.
Hata wee ungekuwepo kwa wanachotufanyia man u mbwa hawaaHuu uzi kama hauna wenyewe duh
Ndio maana umeona sasa kwanini kocha wa Taifa la uingereza hajamwita Sancho kwenye kikosi chakeHAPA UNITED KILA KOCHA ANAYEKUJA ANA MCHEZAJI WAKE ANAYEMPENDA NA ANAYEMUANGUSHA SANA...WAKATI ULE TULIKUWA NA MASHO" WAKATI HUU TUNA SANCHO. WINGA HAPIGI HATA KROSI MOJA!!!! CHENGA NYIIINGI MAAMUZI YA MAANA HAMNA..WAKATI TUNACHEZA MPIRA TULIKUWA TUNAWAITA "MACHACHARI LAKINI SIO HATARI"
Tusubiri tuone!!! Maana Epl haijawahi kuishiwa UTAMU.Liverpool and Manchester City will battle it out for the title.
Arsenal and Chelsea will battle it for 3rd place.
The rest of you can start practicing how to pronounce the names of teams you'll be facing in Europa league and conference league next season. Good luck united